Leo ni kiboko.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,798
YAANI ASUBUHI NDIO NIMEAMKA NA SINEMA YA DESPERADO YAKE ANTONIO BANDERAS NA SALMA HAYEK.
:drum:
 

Attachments

  • Antonio Banderas y Los Lobos - Cancion del mariachi.mp3
    1.9 MB · Views: 48
well miliiona miaka ya 2000,kulikoni mkubwa asubuhi asubuhi na filamu? Au ndo kusema haufanyi kazi leo?
 
Usingizi ulikata kama saa tisa.
Kisa... Nilikuwa naota niko na shemeji yako, kuja kutahamaki , niko peke yangu.
Baada ya hapo nilienda kwenye library yangu na kuibua hii kitu
 
o k nimekusoma mkuu,kama vipi tafuta once upon a time in mexico imekaa kama muendelezo wa hiyo desperado na huyohuyo mtu mzima banderas. Kila la heri kiongozi.
 
Back
Top Bottom