Leo ni Jumapili ya Matawi

Dah, kufunga na uzee huu ntaweza kweli!!!
Enzi za jumuiya ngokoro matope nilikuwa naweza
Sasa hivi, siju, ntafunga vingine jamani lol.


Ha ha ha eti ngokoro matope wakati huo Askofu Sekwa (RIP) mchokozi wewe funga basi ile kitu ingine sawa
 
yaan j5 ya majivu imenipita...j2 ya matawi imenipita...naanzia j6 kuu..j7 kuu na juendelea
 
Back
Top Bottom