Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

Kwa kweli leo nimekaa kimaadili zaidi! Jana kuna jamaa kafumaniwa live na mkewe! Sijawahi kuona mwanamke analia vile! Makamanda tulikaa naye kwa masaa mawili, wanandoa wakashikana mikono! Leo nampigia simu jamaa kumuuliza kilichoendelea night akanambia AMEMRUSHIA MAJI MAZITO KAMA KAWA! LOL!

Huyo mwanamke ana moyo, mie nikimfumania ndio kwa heri hakuna mjadala wala nini.
 
mkuu hebu imagine yale maserengeti navoyamiminaga kwa mbwembwe lakini nikirudi home napokelewa kwa furaha hata kama ni sita usiku! thanks very much my wife mama matesha! I love you!
......:d:d
shameesshaa m'maai
 
Huyo mwanamke ana moyo, mie nikimfumania ndio kwa heri hakuna mjadala wala nini.

Najua uamuzi utakaouchukua si sahihi na wala hautajenga. Si uamuzi sahihi kwa mwanamke jasiri na mwelewa! Mna watoto lets say watano, utasema bye na watoto waparanganyike? Lakini hilo halijanitoa kwenye kukupa heshima yako! I salute you Pretty! Be a good girl!
 
Leo mpwa xpin umeota nini? ni kweli leo uko kimaadili zaidi
Thanks man.
 
ISINGEKUWA MAMA YANGU MZAZI,huenda leo ujasiri niliokuwa nao ingekuwa hadithi

she has always been there FOR ME

OOH!
LOVE YA MOM

ahsanteni sana wanawake
TUPO PAMOJA FOR LIFE
 
Mkuu hebu imagine yale maserengeti navoyamiminaga kwa mbwembwe lakini nikirudi home napokelewa kwa furaha hata kama ni sita usiku! Thanks very much my wife MAMA MATESHA! I LOVE YOU!

Na sisi tunaangaika sana Cousin, au unasemaje?
 
kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
imagine:

anakufumania: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

unazaa nje ya ndoa: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

unarudi usiku wa manane ukiwa mtungi: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

unaamka asubuhi na mahangover: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa supu na kuzimua. Wala halalamiki!

chakula cha usiku: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: Lol) anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

unajiandaa kwenda kibaruani: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

unampa ujauzito: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini wanasamehe, wanavumilia! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

Hivi ingekewa wanaume tunafanyiwa hivi ingekuwaje?

Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

i salute and love them women!

(nb: Leo niko kimaadili zaidi!)


yote hayo tunawafanyia lakini matusi mnayoyatoa midomoni kwenu inanihuzunisha sana
 
Taratibu, ntakupunguzia heshima!

Binamu niongezee heshima zaidi lakini mie nimfumanie nianze kulia weeeeeeeee ooh mama yangu mume wangu ndo nini hiki ,kwani mie nimekosa nini ,nina mapungufu gani ,,,,aaaah watoto !!!! sijui nn
inauma sana Binamu lakini baada ya tukio ndo naanza kumake disisheni ....
 
Mkuu hebu imagine yale maserengeti navoyamiminaga kwa mbwembwe lakini nikirudi home napokelewa kwa furaha hata kama ni sita usiku! Thanks very much my wife MAMA MATESHA! I LOVE YOU!
ha ha ahaaaaaaa. congrats mama matesha.
 
......Afanye vyote lakini hilo la kumfumania live na mwanamke mwingine noooooooo!!! Dunia yenyewe ya leo magonjwa nje nje ni big nooooooooo!!!!
hahahaaaa, NINI KUFUMANIA wewe??
unaletewa mtoto wa nje ya ndoa na UNASAMEHE!.
love to all women out there.
 
Leo mpwa xpin umeota nini? ni kweli leo uko kimaadili zaidi
Thanks man.
Tena wewe ndo usiseme kwa jinsi navokuheshimu! Hubby wako alioa malaika! Please endelea kuwa mke na mwanamke bora!
 
Kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
IMAGINE:

ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!

CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?

Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:

I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!

(NB: Leo niko kimaadili zaidi!)


kama ilivyokwa rangi nyekundu hapo juu kwa upande wangu huwa afanyi nafanya mwenye,chakula cha usiku anagoma mpaka atakapo taka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom