leo ni Birthday yangu jamaaan

Madodi mwenyewe katoroka katuacha wageni waalikwa ukumbini, tufanyeje zaidi ya kupiga story! Sherehe haina hata keki we uliona wapi wifi?.. Mzima weye?

jaman nipoo..nimetoka kuchukua keki na vinywaji...karibun
 
Sina uhakika upo ktk happy birthday yako leo ila nauhakika leo utakuwa ktk happy Birthdate yako hivyo HAPPY BIRTHDATE MADODI! wapi keki yetu?
 
Happy birthday Madodi may god bless you and gives you better and longer life.
 
Happy birthday Madodi, Muumba akujalie hekima na busara, upendo na huruma, akili na maarifa ili uweze kutimiza malengo ya Muumba kukuleta duniani.
Nikutakie sherehe njema.
 
Back
Top Bottom