Makbel
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 774
- 165
Wadau Bodi ya mikopo kwenye matangazo yao pale ofisini walisema siku ya leo tarehe 1 October wataweka maelezo jinsi ya kukata rufaa kwa waliokosa mikopo. Lakini mpaka muda huu kwenye tovuti yao hakuna jipya lolote. Je, tufanye njia gani ili tukate hiyo rufaa?