Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Masharobaro. Mabishoo, ma handsome boy. Hawa ndio wachezaji wetu. Hatufiki popote mpaka dunia itamalizika.
 
Huyu poulsen atimuliwe maana kajaza michezaji ya Simba na ndo maana 2mefungwa,wapi Oscar Joshua,Taita,Tegete,Nurdin(anamuweka sub),Juma Seif 'kijiko'
 
Tutaendelea kumlaumu kocha bure ilhali uwezo wa wachezaji ni mdogo na kibaya zaidi bidii yao ni kama homa za vipindi.Tutalaumu makocha sana lakini hata tukimleta Wenger au Mchawi Guus Hiddink jibu ni sifuri tu.Tutaishiwa kusema mara Tegete,Mwaikimba oh Redondo,sijui Boban...bure kabisa.
 
Golikipa+wa+timu+ya+taifa+ya++Chad%2C+Brice+Mabaya+akirukja+kuokoa+moja+ya+hatari+zilizoelekezwa+langoni+mwake+mbele+mshambuliaji.jpg
Pix-1.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom