Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Ni kweli tumelala 1-0?

90'Burundi2 - 1Lesotho
flash.gif
87'
Madagascar1 - 1Equatorial Guinea
flash.gif
82'
Tanzania0 - 1Chad
flash.gif
72'
Kenya3 - 0Seychelles
flash.gif
HT
Rwanda1 - 0Eritrea
15:30Congo? - ?Sao Tome and Principe
15:30DR Congo? - ?Swaziland
16:30Togo? - ?Guinea-Bissau
18:00Mozambique? - ?Comoros
19:00Namibia? - ?Djibouti
 
kwa staili hiyo hata tukisonga mbele hatufiki popote mbele ya moroco na ivory coast. Wachezaji wanawaza kupaka carolite na kutengeneza dreads tu. Pambafu kabisa

sio hilo tu nahisi wanaelemewa na ucameroon sio hivi hivi yaani ukiwaona uwanjani ni vidole juu tu kama wanaimba taarabu
 
Athuman idd kaabaki yeye na goli apa anapiga mpira njeeeeeeeee lohhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!shame on him
 
Tumefungwaaaaaa, kwani ****** yupo uwanjani? maana akiwepo maana lazima tufungwe
 
matokeo ya mechi za awali


2014 World Cup Qaulifiers

Date
Venue
Matches
11/11/11 15:00
Sao Tome
Sao Tome e Principe
0-5
Congo
11/11/11 15:00
Djibouti
Djibouti
0-4
Namibia
11/11/11 15:00
Mitsamiouli
Comoros
0-1
Mozambique
11/11/11 15:30
Asmara
Eritrea
1-1
Rwanda
11/11/11 16:00
Malabo
Equatorial Guinea
2-0
Madagascar
11/11/11 16:00
N'Djamena
Chad
1-2
Tanzania
11/11/11 16:00
Bissau
Guinea-Bissau
1-1
Togo
11/11/11 17:00
Roche Caiman
Seychelles
0-3
Kenya
11/11/11 19:00
Lobamba
Swaziland
1-3
Congo DR
11/11/11 20:00
Maseru
Lesotho
1-0
Burundi
12/11/11 15:45
Djibouti
Somalia
0-0
Ethiopia
 
Foul karibu na goli
anapiga mtaalam abdi kassim babi goal k hapa
dk ni ya 41 chad 1 taifa stars 0
 
jan10.JPG


[/QUOTE]

Oneni hizo dreads, headphone kama vile washachezaga kumbe la dunia na kutwaa ubingwa angalau mara 2.
 
Ni kweli Chad wanatakiwa wapate 2-0. Lakini Stars wanajiweka kwenye presha sasa, la 2 likiingia wao out. Mie nilizani wangeipa Chad kipigo cha mbwa mwizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom