Leo ndio ilizaliwa Tanzania

We should also dare not to forget the fact that the British politically and economically favoured the Arab minority (the second largest ruling minority in Africa after South Africa's whites)And during their departure placing the Sultan and his Arab government in power at independence!
However...under the articles of union both countries retained a degree of sovereignty with their own Presidents, governments and responsibility for specified domestic affairs.
Other areas such as foreign affairs, defense and security became union subjects. Nyerere was elected as President of Tanzania, Karume the First Vice-President and Kawawa the Second Vice-President..In order to deal with the foreign affairs,defense and security... In February 1977, TANU and the ASP merged to form the Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party) with Nyerere as its chairman.
The question remaining is if they were actually able to solve the latter..that we used to relly on the ruling party "CCM" to make our union stronger and to determine its future!
Are we then looking for other ways to make sure our union stays stronger?
Is it the clash of parties or the ideas as to whether we should keep our union or not?
KWANINI UNAFIKIRI MASUALA KAMA YA MUUNGANO AMBAO NI SUALA LA KITAIFA LIKAENDA KUJADILIWA HUKO BUTIAMA KAMA VILE NI SUALA LA KICHAMA?JE WALIENDA KUMMULIZA MWL KABURINI?
 
Other areas such as foreign affairs, defense and security became union subjects.

I think this is still the main issue!I think tunaweza kupreserve autonomous lakini bado tukawa firm kwenye issues za foreign affairs,defense and security!Kwamba maamuzi makuu yanayohusiana na those three issues should therefore closely involve the central govt!Kwasababu one thing i know for sure ni kwamba Zanzibar's security is Tanganyika's security!We can never separate those two!And so my advice ni kuwa we should negotiate more!
 
Jmushi1,
Mkuu nachojaribu ni kuweka record sawa sio kujenga hoja yoyote ile.
Kama umesoma vizuri maelezo yangu yaliyotangulia utaona kwamba nilisema toka Muungano wetu na Zanzibar mwaka 1964 hadi kuzaliwa kwa CCM 1977, kulikuwa bado matatizo yapo na kama habari uliyoiandika ilivyosema kwamba Nyerere alijenga nguzo za Muungano huo kwa kuunda chama kimoja cha CCM. Baada ya kuundwa CCM toka 1977 hadi majuzi kabla ya vyama vingi hatukuwa na matatizo ya Muungano kabisa. nachokataa toka kwa mwandishi huyu ni pale aliposema Nyerere aliuganisha chama cha Afro Shiraz na TANU kuunda CCM..
Hapo ndipo niliposema sio kweli kwa sababu CCM iliundwa ni pamoja na kuvivunja vyama vyote vya Upinzani vikiwemo Hizbu na Umma party na ndio maana ktk CCM mpya tuliweza kuwa na viongozi wengine toka Hizbu ndani ya CCM.
Kwa hiyo mwandishi aliposema:- To form a sole ruling party in both parts of the union Nyerere merged TANU with the Zanzibar ruling party, the Afro-Shirazi Party (ASP) of Zanzibar to form the CCM (Chama cha Mapinduzi-CCM Revolutionary Party), on February 5, 1977.

Hii inapotosha ukweli na ndio nia yangu kuweka record straight na sii kupinga hoja yako..


nnavyofahamu mimi vyama vyote vya upinzani vilikuwa batili kabla hata ccm kuzaliwa, abrahman babu na akina salim ahmed salim comredi ahmed sultan na ali hassan mwinyi na wengineo walikuwa kwenye serikali zote ya muungano na zanzibar. kwa hio si kweli viongozi wa hizbu na umma party walishirkishwa baada ya kuzaliwa ccm.


kuzaliwa ccm lilkuwa ni wazo la mwalimu nyerere ambalo alilitoa katika makao makuu ya ASP kiswandui wakati wa kikao chao kikuu akiwa mh Aboud jumbe ni mwenyekiti wa chama na Thabit Kombo katibu.

alitoa wazo la kuunganisha vyama na vyama vukawauliza wanachama wao kuhusu wazo hilo.

mie mpaka leo nnaamini kosa kubwa ASP walilolifanya ni kuunganisha vyama, lile ni kosa ambalo Jumbe lazima ajilaumu. maana sasa viongozi wakiwa hawapendi yanayoendelea lazima wazungumze kwenye CCM kitu ambacho huwa kigumu kuwa na nguvu kama wangekuwa na chama chao
 
Here are some of the leadership theory our President should consider when dealing with the whole union issue/situation..
1. Contingency Theories: Contingency theories of leadership focus on particular variables related to the environment that might determine which particular style of leadership is best suited for the situation. According to this theory, no leadership style is best in all situations. Success depends upon a number of variables, including the leadership style, qualities of the followers, and aspects of the situation.
2. Situational Theories: Situational theories propose that leaders choose the best course of action based upon situational variable. Different styles of leadership may be more appropriate for certain types of decision-making.
3. Behavioral Theories: Behavioral theories of leadership are based upon the belief that great leaders are made, not born. Rooted in Behaviorism, this leadership theory focuses on the actions of leaders, not on mental qualities or internal states. According to this theory, people can learn to become leaders through teaching and observation.
4. Participative Theories: Participative leadership theories suggest that the ideal leadership style is one that takes the input of others into account. These leaders encourage participation and contributions from group members and help group members feel more relevant and committed to the decision-making process. In participative theories, however, the leader retains the right to allow the input of others.
 
Naona serikali imeanza kugundua matatizo yaliyomo ndani ya muungano, tusubiri wanaweza kufanya wanavyoweza ili kuunusuru.
 
Mtu wa Pwani,

Mkuu eburudia kusoma tena nilichoandika:- sio kweli kwa sababu CCM iliundwa ni pamoja na kuvivunja vyama vyote vya Upinzani vikiwemo Hizbu na Umma party na ndio maana ktk CCM mpya tuliweza kuwa na viongozi wengine toka Hizbu ndani ya CCM.


Unachosema wewe hapo juu ni viongozi hawa kufanya kazi serikalini.. hii ni tofauti na kuwa ndani ya CCM. Wapo watu kibao Tanzania leo hii wanafanya kazi serikalini lakini sio wanachama wa CCM, mfano mdogo ni Zitto.
Jaribu kutofautisha chama na serikali.
 
Mtu wa Pwani,

Mkuu eburudia kusoma tena nilichoandika:- sio kweli kwa sababu CCM iliundwa ni pamoja na kuvivunja vyama vyote vya Upinzani vikiwemo Hizbu na Umma party na ndio maana ktk CCM mpya tuliweza kuwa na viongozi wengine toka Hizbu ndani ya CCM.

Wapo watu kibao Tanzania leo hii wanafanya kazi serikalini lakini sio wanachama wa CCM, mfano mdogo ni Zitto. [/COLOR]
Jaribu kutofautisha chama na serikali.

unataka niamini kuwa babu alipokuwa waziri wa muungano na salim walikuwa ni wanachama wa Hizbu wakati chama cha hizbu kilipigwa marufuku tokea karume yu hai?

jee unataka niamini walikuwa viongozi wasiowakilisha matashi ya ASP? hebu niwekee wazi juu ya hili


niaminivyo ASP ndio iliopindua na baada ya kukamata serikali wale wote waliokuwa UMMA party au Hizbu na wanataka kufanya kazi na ASP lazima wawe ASP japo inawezekana ndani ya roho zao wakawa vyengine.


zitto si waziri wala si balozi Babu alikuwa waziri wa mipango wa kwanza wa jamhuri ya muungano na yy ndio aliyesaidia kufanikisha TAZARA railways kutokana na mahusiano yake mazuri na wachina.


mawaziri na mabalozi kwa tanzania hadi sasa lazima wawe wa chama kinachotawala.

na kina salim kama sikosei walikuwa mawaziri au mabalozi nje ya tanzania.


si rahisi kuamini kuwa waliachiwa wasimamie vyama vilivyopigwa marufuku kabla ya hata CCM kuzaliwa
Unachosema wewe hapo juu ni viongozi hawa kufanya kazi serikalini.. hii ni tofauti na kuwa ndani ya CCM.
 
Mtu wa Pwani,

Mkuu eburudia kusoma tena nilichoandika:- sio kweli kwa sababu CCM iliundwa ni pamoja na kuvivunja vyama vyote vya Upinzani vikiwemo Hizbu na Umma party na ndio maana ktk CCM mpya tuliweza kuwa na viongozi wengine toka Hizbu ndani ya CCM.


Unachosema wewe hapo juu ni viongozi hawa kufanya kazi serikalini.. hii ni tofauti na kuwa ndani ya CCM. Wapo watu kibao Tanzania leo hii wanafanya kazi serikalini lakini sio wanachama wa CCM, mfano mdogo ni Zitto.
Jaribu kutofautisha chama na serikali.

Sijakuelewa, nafanya vipi kazi serikalini? Ila hoja yako kuwa kuna watu ambao si CCM wanafanya kazi serikalini ni kweli. Ndugu Halima Mdee,Mb alikuwa anafanya kazi Wizara ya Kazi na Vijana ilahali ni mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA
 
mheshimiwa zitto ningeomba utusaidie ktk suala hili

hivi uelewa wako ni upi kuhusu kufanya kazi kwa marehemu abrahman babu na wenziwe ktk serikali?

jee walikuwa ni watumishi wa serikali wakiwa si wafuasi wa ASP? jee walikuwa na vyama vyao?

nnaomba unisaide na utusaidie mimi na mkuu mkandara

nnatanguliza shukrani zangu kwako
 
mheshimiwa zitto ningeomba utusaidie ktk suala hili

hivi uelewa wako ni upi kuhusu kufanya kazi kwa marehemu abrahman babu na wenziwe ktk serikali?

jee walikuwa ni watumishi wa serikali wakiwa si wafuasi wa ASP? jee walikuwa na vyama vyao?

nnaomba unisaide na utusaidie mimi na mkuu mkandara

nnatanguliza shukrani zangu kwako

Marehemu Babu na wenziwe wote waliokuwa Umma Party walijiunga na serikali ya Mapinduzi Zanzibar mara baada ya Mapinduzi. Mtakumbuka chama cha Umma likifutwa na Karume kufuatia mapinduzi ya Zanzibar. Hivyo wakati Prof. Babu, Salim Ahmed Salim na watu wa Umma wanaingia serikalini visiwani na baadae Serikali ya Muungano hawakuwa na chama. Hakuna kumbukumbu zozote zinazoonesha kama Babu au Salim waliwahi kujiunga na ASP. Hata hivyo Dr. Salim Ahmed Salim alijiunga na CCM mara baada ya chama hicho kuanzishwa mwaka 1977.

Babu alikuwa Waziri wa Serikali ya Muungano kwa miaka takriban 8. Sikumbuki kama aliwahi kuwa mwanachama wa ASP. Sijaona kumbukumbu na wala sijasoma katika maandishi yake. Ni suala la kufuatilia. Tutamuuliza Dr. Salim ama Prof. Haroub, waweza kuwa wanajua
 
Hapana mkuu Mapinduzi yalitokea January 12, mwaka 1964, Muungano April 24 mwaka 1964 na CCM ilizaliwa miaka 13 baadaye - tahere 5 Feb 1977, kama sikosei.
Mheshimiwa Mkandara bado hujanipa jibu kuwa CCM ni chama cha mapinduzi yapi hayo?Ni chama cha mapinduzi ya January 12 1964, or april 26 1964 ama ni feb 5 1977?
Ningeshukuru kama ungeweza kunipa jibu.
Ahsante!
 
ccm ni chama cha mapinduzi ya kifikra

wakati kilipoanzishwa kulikuwa na wimbi la kimapinduzi lenye lengo la kuleta mabadiliko ya kifikra kuwa dunia si ya watu fulani tu hata ss tunaweza kuleta mabadiliko ya maana
 
ccm ni chama cha mapinduzi ya kifikra

wakati kilipoanzishwa kulikuwa na wimbi la kimapinduzi lenye lengo la kuleta mabadiliko ya kifikra kuwa dunia si ya watu fulani tu hata ss tunaweza kuleta mabadiliko ya maana
Propaganda!
 
44 years lakini bado viongozi wetu wanadai Tanzania ni nchi changa!
Hivi tunapata faida gani kwenye huu muungano? Somebody pse help!
KANA KA NSUNGU MWELU SIWEZI KUTAJA FAIDAKWANI SIZIONI ILA UTOTO NA UCHANGA NAWEZA KUONA KWA MFANO TUNAAMBIWA BUTIAMA KUNAJAMAA ALILIA WALIPOKUWA WAKILETA OJA YA MSETO HAYA NYAMAZA TOA SABABU AKASEMA BABA ALIKATAA TUTAFUTA HISTOLIA YA MAUAJI YA 1964.
 
Back
Top Bottom