Leo nataka wababa . . .

Hahaha, afu yale mashavu huwa yanang'aa mda wote, afu mawashiwashi hayatafuniki asee, huwa wanameza bila kutafuna lol..

watu wagongo kweli wanang'aa 24 / 7 . We umejuaje ? Utakua ni mtu wa Arusha au Moshi.
 
Leo wanasayansi tulikuwa na kikao muhim sana kujadili faida za mafuta ya ngozi ya punda.
Tupongezeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom