Leo nataka wababa . . .

Bora Preta umekuja, kama unahela kidogo, kanunue basi hata mbege kwa mama masawe.
Angalau wakiwa wengi tuwape japo kulainisha koo.

Pancrease,
Huu mnuso nauona uko havy! Lakini mbona umetustukiza ? Wengine twakaa mbali huku Mboto la gongo , tena tushavua na pamba , kama saivi nimebaki na msuli yatima hauna Baba hauna Mama ! Chukuchukuisims naruhusiwa kuja hivyohivyo ?
Na kuhusu kulainisha koo na vinywaji mi nishalainishwa sana koo ! Huko labda nitalainishwa vilivyo chini ya koo.
 
Judgement, njoo hivyo hivyo.
Ila usisahau kuja na kamba ya kujifunga ukizidiwa.

Kudu ni zuri zaidi ila hata manira itafaa.
Pancrease,
Huu mnuso nauona uko havy! Lakini mbona umetustukiza ? Wengine twakaa mbali huku Mboto la gongo , tena tushavua na pamba , kama saivi nimebaki na msuli yatima hauna Baba hauna Mama ! Chukuchukuisims naruhusiwa kuja hivyohivyo ?
Na kuhusu kulainisha koo na vinywaji mi nishalainishwa sana koo ! Huko labda nitalainishwa vilivyo chini ya koo.
 
kiroba?
Unataka unenepe mashavu tu?

mbege na mawashiwashi ndo unavimba mashavu . Kiroba ni dawa ya wazee .
Hahahaaa...... Umenifurahisha sana bucho,
Mawashiwashi?!!!!..... Preta hebu njooo utuambie hii ni nini, ipo kwenye elementary canal au respiratory system?

Halafu utuambie pacrease ina uhusiano gani na nyongo na insulin!

Asee kongosho, nambie nishuke kituo gani.
 
inamaana hujui mawashiwashi ? Ndo chakula inayotembea na mbege sana.
 
Njoo hapa Tandale Mall
utaona gorofa reefu
pembeni kuna mbuyu mkubwa

utaona watu hapo mbuyuni
ndo sisi.

Hahahaaa...... Umenifurahisha sana bucho,
Mawashiwashi?!!!!..... Preta hebu njooo utuambie hii ni nini, ipo kwenye elementary canal au respiratory system?

Halafu utuambie pacrease ina uhusiano gani na nyongo na insulin!

Asee kongosho, nambie nishuke kituo gani.
 
hiyo hiyo swty . Ukila hiyo maneno na gongo lazima unenepe reception .
Hahaha, afu yale mashavu huwa yanang'aa mda wote, afu mawashiwashi hayatafuniki asee, huwa wanameza bila kutafuna lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom