Leo nataka wababa . . .

mmh, ukiwapa supu ya mawe, watalala fofofo.
Au wewe hujiongezi kikao hiki kina faida zaidi ya maongezi??

mmmh konnie.....hawa watu tuwape supu ya jiwe.....mbege watatufilisi....watataka wanywe drum zima....supu lita 5 wote chali ndani ya dk 2....
 
mwe mwe mwe
haya, njoo hivyo hivyo

usisahau kudu la emejensi

Weeee!! Mi sivaagi manguo usiku bana, tena wakati umeme umekatika.

Askari kanzu hana noma, ametoka kazini muda si mrefu, ananisindikiza kwenye story tu
 
Mna mambo nyie, ngoja leo nijitupie mbege vipi b52 hajambo

b52 mzima.. Ladies night leo kaniacha nitoke na mashost, hajajua nimekuja kuvamia shughuli ya kongosho huku. Na wababa mmejaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom