Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Mkuu dalili ya mvua ni mawingu. Tangu tumeanza, alikuwa ananishushua mimi tuuuuuu. Wewe wala. Nisaidie kwa nyamayao mkuu, mwambie na shem, msaada wake ni muhimu sana.

Hilo limekwisha na mimi niliona kijiwivu kake nikajua upepo unakuendea vyema, nimekwisha mpa task wifey naona saa hizi anampanga nitakupa feed back baada ya lunch, maana tutakuwa na shemeji yako.
 
Hilo limekwisha na mimi niliona kijiwivu kake nikajua upepo unakuendea vyema, nimekwisha mpa task wifey naona saa hizi anampanga nitakupa feed back baada ya lunch, maana tutakuwa na shemeji yako.

Mkuu nimekukubali, na wife wako tayari kashasepa. Manake umembeba mzobamzoba. Mpwa Masa alijaribu bahati yake maji yakazidi unga. Endelea kuchoma mkuu.
 
tuko break kwa lunch aaaaaaaah do! Ice cream imetuchafuwa samahanini kidogo tutarudi later on
 
Kwa kweli nahisi kumpenda FL, niko tayari kumpa Moyo wangu! mimi nitatumia figo
 
tumia selula yako ni nzuri zaidi kuliko kumwaga kuku kwenye mchele wengi......
 
Ni wapenzi vijana tu hawa. Watu wazima hawawezi kujianika hivyo. Ukiona wawili wamekaa kwenye gari wenye furaha sana na maongezi muda wote na vicheko huku wakitazamana kila wakati, ujue ni wezi hao wala sio mume na mke. Mkate wa wizi ni mtamu kulikoni wako.

Leka
 
i lav u my first lady ur the part of me.

thanks for the chocolate, wote hao wanakutania tu, embu waeleze ukweli kuhusu sisi kuwa tunaamka pamoja na tunala pamoja sasa uko kifuani mwangu.....tunasoma vsms vyao

mmh kwani mko wanaume wangapi???
 
Ni wapenzi vijana tu hawa. Watu wazima hawawezi kujianika hivyo. Ukiona wawili wamekaa kwenye gari wenye furaha sana na maongezi muda wote na vicheko huku wakitazamana kila wakati, ujue ni wezi hao wala sio mume na mke. Mkate wa wizi ni mtamu kulikoni wako.

Leka

utajiju kama hufanyiwagi suprise nenda kwa mganga :)
 
mmh kwani mko wanaume wangapi???

ONLY ME WHO ELSE MY BABY HAO WENGINE BODY GUARDS TU,

I-love-you1(combine).gif
 
nisaidie mwenzio hapa hata sieleweki message hii ilikuwa mahusuki kwa nani ;)wamemaliza apetaiti yangu
We ulivyoleta hii thread ulikua na malengo gani? ulitakawatu wachangie nn? na Mumeo ni member huku au? kama sio member ujumbe angeupataje?
 
My 1st lady

huwezi kumpenda

1. Burn-mdomo wake haufungi
2. Masanilo -anakojoa hovyo kwenye miba
3. Chrispin-utapeleka wapi mwanariadha?
4. Fidel81 skeleton/huyo ni wa life after death

unaweza kumpenda

nguli-is serious n i know u lav a man who takes charge
 
Back
Top Bottom