Leo mpambe wa JK wamemfukuza?

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
867
219
kila anapokwenda jk lazima hule mapambe wake anaye mbegea mizigo awe kwa nyuma au pembeni, lakini nashanga leo hayupo au wakienda USA uwa anatolewa? tufaamisha wakuu na nchi yetu ya kijima

Map.jpg

President Jakaya Kikwete (2nd R) signs a world map indicating different areas where the U.S Peace Corps Volunteers have been working since 1961.The event was held at State House in Dar es Salaam yesterday.
 
Labda hakuruhusiwa kuingiia kwenye hicho kikao.
 
Mimi nikienda kwa jirani yangumara kwa mara aidha kwa kusalimia au vinginevyo na yeye anawajibika kuja kwangu hivo hivo la sivyo naacha kwenda kwake, sasa huyu mkulu kila kukicha naona yuko USA hivi analijua hilo?
 
hata mimi nahisi hivyo labda USA naona ni kama 'BUlLLYING' kwa watumishi wa umma hasa huyo mlinzi, wasije kuwa wamemwambia hataki mambo ya dharau kwa binadamu
 
kila anapokwenda jk lazima hule mapambe wake anaye mbegea mizigo awe kwa nyuma au pembeni, lakini nashanga leo hayupo au wakienda USA uwa anatolewa? tufaamisha wakuu na nchi yetu ya kijima

Map.jpg

President Jakaya Kikwete (2nd R) signs a world map indicating different areas where the U.S Peace Corps Volunteers have been working since 1961.The event was held at State House in Dar es Salaam yesterday.

mkuu mbona umechemsha au hukusoma kabla uandike?

kila anapokwenda jk lazima hule mapambe wake anaye mbegea mizigo awe kwa nyuma au pembeni, lakini nashanga leo hayupo au wakienda USA uwa anatolewa? tufaamisha wakuu na nchi yetu ya kijima
Map.jpg
President Jakaya Kikwete (2nd R) signs a world map indicating different areas where the U.S Peace Corps Volunteers have been working since 1961.The event was held at State House in Dar es Salaam jamani tujiulize swali hapo prezd Dr MKWEREE anasaini mkataba gani na hao Us Corps? Au ndo yale yale ya Richmond na Dowans.
 
Mimi nikienda kwa jirani yangumara kwa mara aidha kwa kusalimia au vinginevyo na yeye anawajibika kuja kwangu hivo hivo la sivyo naacha kwenda kwake, sasa huyu mkulu kila kukicha naona yuko USA hivi analijua hilo?

Hiyo kweli mkuu, ukienda kwa jirani/rafiki inabidi na yeye aje kwako la sivyo ujirani/urafiki una kasoro.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom