Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru

:thinking: ...Josh looks and sounds so charismatic, naamini he'll make a great leader if he get elected....Ni tofauti sana na mkaza mwana wa Lowassa, mzee wa 'ninatambua':A S-frusty2:
 
IGUNGA,BUSANDA KOTE TULIAMBIWA HIVI HIVI MWISHO WA SIKU CCM inabeba jimbo!so endeleeni kuesabu watu, wengine wasafiri wengine wakazi wa moshi! mwisho wa siku ccm inaibuka mshindi,mtajibeba sana mwaka huu
Mkuu Kashoga,
Ulikuwa wapi, longtime au uko South, naona chama chetu kimebanwa vilivyo hapo Meru!!
BTW, plan be is our best option..:redface:
 
Umati huu ni wawanachama wa CCM walioambiwa na comrade Lowasa wabaki kikatiti kusikiliza sera za wahaini chadema ili wakakamilishe kazi ya kuisulubu chadema tarehe 1/4/2012
Mkuu,
...Lowassa huyuhuyu mlietaka kumvua GAMBA leo mnamwita comrade? Kweli njaa mbaya sana!!!
 
Hizo ni picha tuu wakuu zisiwadanganye mkajua mmeshinda rafiki zangu bcoz Kesho arumeru tutawasambaratisha msijue pakutokea na ndio itakuwa mwanzo wa kuyakomboa majimbo yetu ya Arusha mjini, Moshi mjini, Hai, Rombo na Karatu yaliyopo Arusha na Moshi na anguko kuu la Slaa na Mbowe.

Nyie endeleeni kujaza watu wasionavitambulisho vya kupigia kura na Sisi CCM tunaendelea kukamilisha mkakati mzito wa ushindi siasa ni zaidi ya sayansi CCM juuuuuu
 
Back
Top Bottom