Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru

Hiyo ni mikakati mizuri ya ushindi cku zote ushindi wetu hutoka nje ya mji kama ilivyokuwa Igunga. CDM jifarijini tu kwa watu kutoka Arusha mjini but Sunday mapema kweupe CCM kuchukua jimbo
mana kesho boda boda wameapa bora walale na njaa sababu hesabu imefungwa leo kesho wote wapo kwao(chadema) magamba yameogopa kuaibika hayo yametimkia vichochoroni baadae wataenda kia kusubir matokeo uwanja wa ndege maana huku hali ni mbaya jaman
 
We mpuuzi kweli tukisema mikutano ya CDM inajaza nawakuja kama nyinyi mnabisha sasa kwakuwa nyie ni wenzako unaowaalika hamtapiga kura CCM tutatangazwa washindi mapema
[/COLOR]

una undugu na lusinde nn...hatujazoea matusi...mwisho wenu tar 1 apri njoo huku uwanja wa mapambano uone kazi uone wenzako wanavyoshikishwa ukuta ha ha ha magamba byeeeeeee
 
Mtanzania yeyote aliyesikiliza hotuba ya Mbunge wa Mtera jana aliyekuwa anamnadi Siyoi Sumari wa Chama tawala, ataridhika kuwa hiki ni chama kilichoishiwa hasa ustaarabu na heshima kwa umma. Matusi yale hayatamkiki hadharani. Ni mabaya na machafu mno. Maneno yale hayatamkiki na baba au mama mbele ya watoto wao, na watoto hawathubutu kuyatamka mbele ya wazazi. Ni machafu na ya kihuni. Shame on Tanzania if we shall allow uncouth utterences to be part of our political culture.

Huyu Livingston Lusinde ameelimishwa wapi? Mbona hana simile na maneno machafu? Kuanzia leo, kama chama chake hakimvui madaraka kwa kuonyesha ubabe wa maneno yasiyotamkwa hadharani na WaTz walioelimika, basi tubadilishe jina na kukiita CHAMA CHA MATUSI (CCM).

Chama cha Matusi hakiwezi kushinda, na Wameru hawatamchagua kiongozi anayepigiwa debe na majitu yasiyokuwa na heshima kwa umma.
 
King'ori pale wameenda ili kupokea haramu zao zitakazoshushwa pale KIA, Pia zitakazokuja na mabasi kutoka nje ya mikoa, ili waziingize mjini kwa magari yao kukwepa upekuzi wa polisi.

Pili wanafanya hivyo ili kesho polisi ifanye kamata kamata ya vijana na kuwatia ndani wasipige kura jumapili. Kwa kuwa ni ngumu kujua kijana yupi ni wa chama kipi wao wameona ni bora kwenda mbali na mji ili wote watakaobaki mjini wawe ni wa CHADEMA tushikwe kirahisi.

Wamekimbilia huko ili kukwepa aibu ya Patandi kesho. Tengeru ndio mji mdogo wa kwanza ukiwa unatoka nyumbani kwao mgombea wa ccm bwana Sioi pale akeri. Na leo wao walifanya mkutano pale wakapata magari mengi kuliko wasikizaji na wanajua Kesho Chadema itajaza nyomi. Kukwepa hiyo aibu wameona wakimbie.


Wafanye wafanyalo lakini jumapili tutakutana pale kwa Mkuu wa Wilaya na Halmashaurini pia tutajua nani Mshindi nani mwenye Haki.

Peooooooooooples
 
Wakuu mimi leo nilikuwa Ngarenanyuki, kila unayemuuliza jibu ni cdm, balaa ni pale makamanda walipowasili kwa chopa, ilikuwa balaa. Wakati wa jioni tulipokuwa tunarudi maeneo ya usa river kilala tulikuta watu pale barabarani kwa mamia wote wakionesha V, tulipofika tengeru balaa kubwa. Hapa labda magamba wachakachue, nionavyo mimi cdm for Arumeru East walahi. :violin: :lock1:

IGUNGA,BUSANDA KOTE TULIAMBIWA HIVI HIVI MWISHO WA SIKU CCM inabeba jimbo!so endeleeni kuesabu watu, wengine wasafiri wengine wakazi wa moshi! mwisho wa siku ccm inaibuka mshindi,mtajibeba sana mwaka huu
 
We mpuuzi kweli tukisema mikutano ya CDM inajaza nawakuja kama nyinyi mnabisha sasa kwakuwa nyie ni wenzako unaowaalika hamtapiga kura CCM tutatangazwa washindi mapema
[/COLOR]

Acha ulimbukeni, mfano mmoja wa huyo bwana hauwezifanya wahudhuriaji mikutano ya CDM wawe wageni.
 
hauna mengine ya kuandika hapa maana haya tumeyachoka
sema kuwa umeyachoka wewe but majority tunahitaji ma updates hapa!!!,dogo acha uzembe au wewe ni gamba nini!!!!!!!!?hufai kuigwa na jammi forum the home of great thinkers kama sisi.jimbo ni la mhe,mbunge nassari na siyo sioi wenu domo.........................zege!!!!!!!!!
 
Chadema wasirudie ''uzembe'' wa 2010 wa kutoweka mawakala kwenye baadhi ya vituo. Kupiga kura ni jambo moja, na kutangazwa kwa kura zilizopigwa ni jambo jingine kabisaaaaa...
 
attachment.php
 
EWE mwenyezi Mungu, naomba uwape mbunge atakaye weza kuwasaidia wana arumeru-east, na tena usiwape mbuge wa aina ya wale wanaopenda kuishi dar. AMEN
 
Mi nlifikiri ni majungu ya kisiaasa tu lakini jana ndo nilisikia kwa masikio yangu mwenyewe! CCM wanatoa matusi makali hayo!! da! halafu baada ya hayo matusi wanamwita m2 wao amwombe mungu. Hivi Mungu anakaa mahali penye matusi makali kiasi ambacho natamani kufunga masikio? Huku ni kumkufuru Mungu,. wamelaaniwa washindwe na walegee kupitia sanduku la kura.
 
MMK alisema vyema,"Tunataka USHINDI Wa CDM";hizo zingne ni mbwembwe tu!
Kila la heri wana arumeru,kila la heri CDM!
 
Hahahahaaa!hii inafaa jukwaa la jokes!
Hiyo ndiyo hali halisi mkuu,

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Wana Arumeru,jambo la msingi ni kuhakikisha mnapiga kura j2,na kuhmiza wengne kupiga kura kuchagua Cdm na si vingnevyo!
 
Back
Top Bottom