Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru

Wakuu mimi leo nilikuwa Ngarenanyuki, kila unayemuuliza jibu ni cdm, balaa ni pale makamanda walipowasili kwa chopa, ilikuwa balaa. Wakati wa jioni tulipokuwa tunarudi maeneo ya usa river kilala tulikuta watu pale barabarani kwa mamia wote wakionesha V, tulipofika tengeru balaa kubwa. Hapa labda magamba wachakachue, nionavyo mimi cdm for Arumeru East walahi. :violin: :lock1:
 
Kwa hali ilivyo hivi sasa, CCM inashinda kwa asilimia kubwa sana! Wazee wote wa Arumeru wenye influence wametoa baraka zote kwa Sioi! Vijana wote wataipigia kura CCM! Akina mama wote wataipigia kura CCM!
Wakuu Napendekeza kuwe pia na mashindano ya mwan JF mwenye mawazo yanayofanana na sana na sura yake ama avatar yake! Damn it! Rejao tayari ni mshindi 2012.
 
wana jf huku arumeru baada ya funika bovu ya chadema leo na zomea zomea ya lowasa magamba yameamua kupeleka mkutano wao nje ya mji kingori..kwanza leo magamba yalitaka kubadili ratiba ya mkutano ratiba ilikuwa magamba yaanze asubuhi kikatiti baadae chadema yenyewe yakataka yamalize chadema ikaawambia kama mnataka mmalize labda mumnadi nasari hali ikawa ngumu yakafanya mkutano kwa shingo upande na zomea zomea ikawakumba...kesho kama kawa asubui kutakuwa na mikutano mingi lakini funga kazi itakuwa tengeru baadae uwanja wa nyumbani(old traford) user river jamani kesho raha kama una nauli njoo tu huku m nimeomba likizo toka mwanza nipo huku magamba kwisha kazi
 
Kwa hali ilivyo hivi sasa, CCM inashinda kwa asilimia kubwa sana! Wazee wote wa Arumeru wenye influence wametoa baraka zote kwa Sioi! Vijana wote wataipigia kura CCM! Akina mama wote wataipigia kura CCM!
tuwapigie magamba kwa lipi zuri walilofanya?,MAGAMBA HAYAFAI HAPA KWETU INGELIKUWA CHINA WOTE WANGESHAKUWA WAMENYONGWA!!!!!.NAPENDEKEZA KATIBA MPYA IWE NA SHERIA YA KUNYANGA MAFISADI ON THE SPOT HAKUNA CHA KESI MAHAKAMANI WALA NINI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.HAWAFAI NARUDIA TENA HAWAFAI !!!! CCM NI SUMU YA MAENDELEO TANZANIA HAWANAJIPYA HAO NA HAWAFAI HATA KIDOGO,TAMAA,UFISADI,WIZI,UTAPELI,UZINZI,N,K NI HULKA YAO,YAAANI MABAYA YOTE NI YA KWAO.LAANA YA KUWASALITI WATANZANIA INAWATAFUNA.IN SHORT MAGAMBA HAWANA JIPYA HAPA DUNIANI,TUWAPOTEZeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.NAMALIZIA HIVI ARUMERU MASH IN YA CDM UNDER THE CONTROL OF NASSARI LASTLY KAMATA MWIZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNNNNNNNNNNNNNNN!!!!!!
 
Umati huu ni wawanachama wa CCM walioambiwa na comrade Lowasa wabaki kikatiti kusikiliza sera za wahaini chadema ili wakakamilishe kazi ya kuisulubu chadema tarehe 1/4/2012
Asante Makene tuko pamoja

attachment.php
 
sasa waki amua kupora haki ya wanameru basi wameru wenyewe wataamu nini wafanye na wapate mifano nyamagana, arusha, ubungo, kawe jinsi majimbo yalivyo chukuliwa kwa nguvu ya umma

1. je? tunahakika na wasimamizi wa vituo kwamba hamna mamluki?
2. Je? washabiki wetu watatoka kwa wingi kupiga kura ili hata zikiibiwa tofauti iwe kubwa?
3. Je? tumerahisisha kwa kiasi gani utendaji kazi wa wasimamizi(mawakala wetu?) kuna baadhi ya maeneo hata chakula cha mchana huwa ni shida.
4. Tumeweka ulinzi gani wa kura zetu? je? ile tuzo ya richmond haitaathiri walinzi wetu maana takukuru nao wanatakiwa wachunguzwe kwa kupewa rushwa ili wasione rushwa!

I hope utakuwa umejifunza na kuelewa zaidi kuwa CCM ni zaidi ya green revolution
Magamba hawawezi kutoa picha kama hii, watajitahidi kutoa picha ambazo hazina uhalisia.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee????????????????????

Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mana kesho boda boda wameapa bora walale na njaa sababu hesabu imefungwa leo kesho wote wapo kwao(chadema) magamba yameogopa kuaibika hayo yametimkia vichochoroni baadae wataenda kia kusubir matokeo uwanja wa ndege maana huku hali ni mbaya jaman
 
mwaka huu tutaona sarakasi nyingi.matusi ya lusinde yanawatafuna

sis tuna Mungu wao wa pesa na jet fighters
 
Magamba ni sumu mbaya kwa watanzania tuwaepuke kama ukimwi hawafai katika nchi hii maana wanapenda kudharau na kudanganya wananchi,hawaeleweki,wababaishaji wa hali ya juu,matusi ndo kauli mbiu yao,usaliti ndio motto wao.hawafau hata theluthi!!!!!!!!.wana arumeru mashariki tufanyeni mabadiliko tumchague nassari as ni njembe,mpiganaji,ana self determination,ana uwezo,hakuruthishwa na ni mkaazi asilia wa jimboni hapa,ewe mwanchi mwenzang mchague nssari,achaneni na magamba maana hayana uwezo wa kuleta changes jimboni kwetu.chonde chonde ccm ni sumu haifai kuliwa na binadamu awla kiumbe yeyote yule.
 
We mpuuzi kweli tukisema mikutano ya CDM inajaza nawakuja kama nyinyi mnabisha sasa kwakuwa nyie ni wenzako unaowaalika hamtapiga kura CCM tutatangazwa washindi mapema

Back
Top Bottom