Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru

ntashangaa sana kama wana arumeru watachagua chama kinachotukana kiasi kile
naamini kama hawataiba kura chadema watashinda
wanachema lindeni kura zenu msikubali kuibiwa
 
Pamoja sana Kamanda!.
Lakini kuna taharifa zinazodai yakuwa ccm hata kama watashindwa kwenye box la kura,wao
watajitangazia ushindi kwa mtutu wa bunduki. Je,hilo wewe unalichukulia vipi? Maana inaone
kana teyari ccm kuna matokeo wameshayapanga....nayo ni kumtangaza mgombea wao kuwa
ndiye mshindi hata kwa mtutu wa bunduki!!! Je, mmejipangaje makamanda?
 
Hivi kama Ubunge hauna pesa ni kwa nini CCM wanatumia resource kubwa kiasi hiki? na ni kwa nini huyu Sioyi ameacha kazi yake nzuri tu kwa ajili ya Ubunge wakati hata kujieleza jukwaani hawezi? Mtu aliyemshawishi Sioyi kugombea Ubunge ni mtu mmbaya sana.
 
Keshokutwa hesabu itakuwa CDM 215 CCM 7, CDM 350 CCM 31, CDM 70 CCM 2, CDM 516 CCM 46. Yaani watachanganyikiwa na matusi yao vibaya sana

Naandaa vinywaji na chair fire, kwa ajili ya kumsindikiza marehemu CCM makaburini,
Nyerere alitoa Wanameru watatwaa,
Kuzim chama cha mapinduziii..............
R.I.P CCM.
 
Arumeru inaenda chadema...
Mkuu, hata mimi naomba hivyo Arumeru iende Chadema...lakini habari za uhakika
toka chini ya kapeti zinadai ccm watajitangazia ushindi kwa mtutu wa bunduki.
Na ikitokea hivyo ndiyo basi tena, Chadema watakwenda mahakamani na kesi ita
chukua miaka 3 mchezo umekwisha. Namuomba Mungu awe upande wa Chadema
 
wana jf nimeangalia habari ya itv hakika chadema imefunika ingawa wameanza na mkutano wa ccm kuonyesha walivyokuja kwa chadema hakika ilikuwa burudani kesho kutwa jimbo la chadema
Yaani hamasa ilikuwa kubwa na wengi walikuwa kwenye nguo nyeupe duu nadhani waraka wa salamu wa Nassari wakuvaa nguo nyeupe hadi raha kwa kweli
 
Kilichobaki ni mikakati ya kulinda kura tu, ushindi kwa Chadema ni swala lililo wazi kabisa.
 
I wish at once kuwe na fair play kwenye kupiga na kuhesabu kura. Wote waamue kuvuna matokeo ya kazi waliyoifanya kwa uwazi bila kuhujumu matakwa ya raia.
 
sasa waki amua kupora haki ya wanameru basi wameru wenyewe wataamu nini wafanye na wapate mifano nyamagana, arusha, ubungo, kawe jinsi majimbo yalivyo chukuliwa kwa nguvu ya umma
 
Kilichobaki ni mikakati ya kulinda kura tu, ushindi kwa Chadema ni swala lililo wazi kabisa.
Hiyo yanayo mabox ya kura tu na si mtu mwingine! Chezea sisi 'm' m stands for majizi,majambazi,magaidi, mafisadi, nk.
 
Hiyo ndiyo hali halisi mkuu,

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.

haujamsikia Lowasa....
hapo vipiiiiiiiiiiiii?????????????
hapo sawaaaaaaaaaaaa????????????
ndiyo siasa zilizoba CCM, hakuna jipya,
kweli, kuchagua ccm hadi uwe na kichwa cha panzi.......
 
Wajaribu na huo mtutu waone, nimetokea ngome sasa hivi pale Elephant, watu wako tayari kwa lolote chochote.
Kina mama na vijana wametoka Kikatiti kwa mguu mpaka Ngome (Leganga), wameulizwa mbona mmetembea umbali mrefu hivo kuja hapa wakajibu tumekuja tunataka tuambiwe mkakati wa kulinda kura.
Sasa narudi zangu town barabarani ni jam ya ajabu magari na bendera mengine yakirudi town na mengine yakija ngome kukesha mpaka hiyo funga funga kesho na matokeo pale kwa mkuu wa wilaya jumapili.

Sidhan kama ccm watajaribu lolote maana hali haitakuwa tuionavyo.
 
Kwa hali ilivyo hivi sasa, CCM inashinda kwa asilimia kubwa sana! Wazee wote wa Arumeru wenye influence wametoa baraka zote kwa Sioi! Vijana wote wataipigia kura CCM! Akina mama wote wataipigia kura CCM!

Hongera Rejao Unatia matumaini.
 
Nimebahatika kuwa ktkt jimbo hili la Arumeru Mashariki nikiwa mwanafunz wa chuo kikiuu kimoja jimboni hapa.Kwa kweli hawa jamaa Chama cha Magamba kaz wanayo,yaan kama ni mechi matokeo ni Nasari 3-Siyoi 0 dakika 88 ball possession ni Nasari 75% na Siyoi 25%.
 
Wananchi wakiamua hata dola haiwezi kufanya lolote, kwanza mimi nafurahi maana hata polisi wenyewe wamisha choka na propaganda za ccm
 
Back
Top Bottom