Leo katika Historia

mkandumbwe

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
424
370
Tarehe kama ya Leo mwezi kama huu mwaka jana 25/10/2015 ndio watanzania tulifanya maamuzi ambayo kwa sasa tunatamani iwe kama ni njozi....
Tunaisoma namba kwa ukaribu zaidi..
 
Tarehe kama ya leo ,mwezi huu, mwaka Jana..25/10/2015. Ndio watanzania tulifanya maamuzi ambayo kwa sasa tu nataman iwe kama ni njozi.. .

Tunaisoma namba kwa ukaribu zaidi
 
He,heh...nakikumbuka kituo nlichopigia kura, nataman siku hyo ningeumwa hata na tumbo la kuharisha ili nisiende
 
Roho iliniuma. Walinikatalia kupiga kura ya urais mtaani kwetu kisa milijiandikishia kituo cha ofisini

Sikukata tamaa. Nilipaki motokaa yangu kwa hofu ya vurugu.

Nikapanda dala dala, nikapanda boda boda. Tiii. Ofisini. Nikapanga foleni. Njaa ikauma. Kiu ya maji. Hatimae nikapiga kura

SIMALIZII.
 
Yaani mpaka leo benki au ofisi yeyote ya umma sitaki kuingia maana nikiona ile picha ya jamaa ukutani rangi yangu inabadilika kabisa...
 
sitasahau nilivokuwa na simamia uchaguzi jinsi mawakala walivokuwa wakitoa mimacho km mjusi kabanwa mlangoni. yaani ata ukikohoa wanahisi umeiba kura.
 
tarehe km ya leo nililala nje siku mbili muda km huu nilikuw nimechoka kw kuhesabu kazi kura za wananchi aseee pesa ya lubuva ilikuwa tamu sanaaa japo viongozi walitupiga
 
Naisoma namba ila any way sikuwa na option nyingine ya kumpa kura ya urais.
I had to choose the bad from the worst
 
Tarehe kama ya leo mwska jana wananchi walifanya maamuzi sahihi ila tume ilifanya maamuzi mabovu.
 
Back
Top Bottom