Leo JK yupo Kilosa!

Bora asingeenda kambisa tungemuelewa kuwa alituma salamu za rambirambi kwa mkuu wa mkoa na akamtuma PM kumuwakirisha. Sasa hii ya kwenda after one month kwa kweli haiingii akilini. May be ni kweli anaogopa maji au juju zake hazipatani na maji!!!
 
Kwa habari nilizonazo, Leo JK yupo Kilosa mkoani Morogoro kuwafariji wahanga wa mafuriko.Pinda alianza yeye anafuatia!

Omumura na Wengine,

Hapana. Hayupo Kilosa. Safari yake imeahirishwa. TBC Taifa walitangaza jana na kumnukuu mkuu wa mkoa wa Morogoro akisema kuwa safari ya Rais imeahirishwa kwa sababu maandalizi bado hayajakamilika.
 
Rais wetu msanii mkubwa, hakuna mechi kubwa wala Drogba hachezi leo ndo maana ameamua kwenda kuwaona Watamzania wanaoangamia na mafuriko,
 
Omumura na Wengine,

Hapana. Hayupo Kilosa. Safari yake imeahirishwa. TBC Taifa walitangaza jana na kumnukuu mkuu wa mkoa wa Morogoro akisema kuwa safari ya Rais imeahirishwa kwa sababu maandalizi bado hayajakamilika.
AAH hii inatisha, Rais analeta mbwembwe msibani.
 
Omumura na Wengine,

Hapana. Hayupo Kilosa. Safari yake imeahirishwa. TBC Taifa walitangaza jana na kumnukuu mkuu wa mkoa wa Morogoro akisema kuwa safari ya Rais imeahirishwa kwa sababu maandalizi bado hayajakamilika.

Ana mpango wa kwenda Haiti nini?
 
Back
Top Bottom