LEO DODOMA : Unaweza kusema nini juu ya picha hii (Kikwete vs Pinda)

Network down--mh hii picha ya zamani sana maana namuona Luhanjo pembeni ya JK au alialikwa watu acheni kushabikia uongo!
Mkuu upo nchini gani???????/Luhanjo kakonda hivi!!!!.....Huyu ni Mzinduzi si Luhanjo
 
Ni nini matokeo ya kikao cha Baraza la Mawaziri lililokaa majuzi Dodoma katika mtiririko mzima wa ugumu wa maisha kwa Mtanzania ambao hivi sasa unaoendelea kuchukua sura mbaya zaidi nchini?
 
Back
Top Bottom