LEO DODOMA : Unaweza kusema nini juu ya picha hii (Kikwete vs Pinda)

apolycaripto

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
644
225
Picha hii imepigwa leo kabla Baraza la Mawaziri kuanza hapa Dom. Mtazame Kikwete kisha Pinda nadhani utabaini kitu katika picha hii.
d2.jpg
 
kama anasema "vipi mgomo umeisha?mi siingi bungeni we nenda kaairishe bunge maana nilishaka kimya muda mrefu inabidi niendelee tu sitaeleweka kwa wananchi"teeeeehhhh!teeehhh akaanza kucheka
 
Pinda well done tena mkuu asante kwa kunisikiliza maagaizo yangu. Mie nawaingilia wakuu wao asap
 
Aisee walikutega mzee Pinda ukajinasua ikagoma.. Wapuuzi wale wametupelekesha mazee.. Ngojea tuwatege tena upya.,sasa hivi lazima wanase..
 
Nilikuwa siamini kama unaweza kumaliza ule mgogoro wa madokta, ungelikoroga mie ningekuruka tena kama ilivyokuwa kwenye posho, unadhani mchezo.. tehe tehe teheeeee!
 
Aisee angalia, hiyo title yako ya utoto wa mkulima jamaa wanaanza kshtukia, so kuwa makini aseee..Mkuu wa kaya
 
SHURUBA ZA MHE ANTIPHUS TUNDU LISSU JANA BUNGENI NA ILE KAMATI YA DOKTA ULIMBOKA KWA MGOMO WA MADAKTARI NCHINI MAJUZI MKUU NAKUAMBIA SINA HAMU WIKI HII!!!!!

Kama vile Mtoto wa Mkulima anamwambia Rais Kikwete mkutanoni kwamba: 'Weee bana weeeeeehhh, usiombe Tundu Lissu alivyokua anaamba amba na mpira wa sheria kwenye chaki za sakafu la bunge hapo jana.

Mkuu nakwambia, mara alipotokea Anne Kilango na makeke yake yote mara huyu kijana wa Singida naaanihi, yaani Lissu, akamlambisha chenga na mara akampiga TOBO beki wetu namba tano ambaye ndiye tumaini letu la mwisho Mwanasheria Mkuu, na kabla hatujashtuka vile mara nikaona kitu kwenye tamba la panya kwenye meza ya huyu dogo wetu Ngugai!!

... basi ikawa ni taabu tu, ni shiida tuu - mpira ulishatulia ndani ya neti saa nyingi na Mhe Mbowe, Tim kapteni ya CHADEMA kwenda kuiokota mpira kwa kauli ya ' kuache ma-DC na ma-DED' ili mambo yaishe.

Yaani mkuu kusema kweli sijawahi kuona mechi ngumu kama ile katika maisha yangu yote kwenye siasa, nakuambia tena.

Halafu ukizingatia kwamba majuzi tu na wewe mkubwa wangu ukawa umeniweka kitako changu kwenye moto juu ya mgomo wa madaktari kwamba ama niwe nimelitatua au nije kwako na barua yangu ya kujiuzulu - hapo nako ndio ilikua ni presha panda presha shuka, hata ugali wenyewe nilikua sili ukateremka wiki hii.

Kwa kweeli Presda wangu mambo nilioshuhudia wiki hii urais hata ingalikua ni kupewa bure wala siuchukui labda ungenigawia tu ka-Davos moja hivi na mimi niende nikajiliwaze japo kwa wiki moja na mama wa malezi ndani mwangu mkuu.'

Huo ndio ujumbe ninaousoma katika nyuso za hawa waheshimiwa wawili kwenye picha hii.


Picha hii imepigwa leo kabla Baraza la Mawaziri kuanza hapa Dom. Mtazame Kikwete kisha Pinda nadhani utabaini kitu katika picha hii.
d2.jpg
 
Network down--mh hii picha ya zamani sana maana namuona Luhanjo pembeni ya JK au alialikwa watu acheni kushabikia uongo!
 
kama anasema "vipi mgomo umeisha?mi siingi bungeni we nenda kaairishe bunge maana nilishaka kimya muda mrefu inabidi niendelee tu sitaeleweka kwa wananchi"teeeeehhhh!teeehhh akaanza kucheka

Toka lini Rais akaahirisha bunge? wacha ushamba.
 
Labda anamuuliza kati ya wewe PM na mimi rais nani aanze kuhamia Dodoma.......... lol
 
ee mzee naona unaonyesha umwamba kama wewe unaweza kungoza nchi kuliko mimi afu sikuhizi unajiamulia tu kufanya mambo naona kazi imeanza kukushinda we ni chadema nini.
 
Back
Top Bottom