Leo dar es salaam kama dafur

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Juu ndege za kivita, chini magari ya kivita. kuna nini jamani?? Mimi nipo hapa maeneo ya external yamepita magari manne yenye mizinga kwa nyuma iliyofunikwa kwa turubai za kijeshi. Ile nataka kuchukua picha kumbe kwa nyuma kuna pick up kama zile za libya wakaninyoshea kidole. Mi nmebabki nashangaa. mwenye taarifa atujuze wanaenda wapi sababu watokea Ubungo wakielekea tazara. Nimezoea kuona zana za kivita zikisafilishwa usiku. Leo kulikoni?. Mia
 
Wanaenda taifa kwenye sherehe za jinsi walivyoweza kuwafilisi wabongo kwa miaka 50
 
Mzee wa mia, inaelekea posho za miaka 50 ya uzuru hazijafika huko external. Ziko njiani,kuwa na subra baba
 
...wanajiandaa kupambana na majamaa waliowachimba mkwara wa kuwaondoa madarakani.
 
Juu ndege za kivita, chini magari ya kivita. kuna nini jamani?? Mimi nipo hapa maeneo ya external yamepita magari manne yenye mizinga kwa nyuma iliyofunikwa kwa turubai za kijeshi. Ile nataka kuchukua picha kumbe kwa nyuma kuna pick up kama zile za libya wakaninyoshea kidole. Mi nmebabki nashangaa. mwenye taarifa atujuze wanaenda wapi sababu watokea Ubungo wakielekea tazara. Nimezoea kuona zana za kivita zikisafilishwa usiku. Leo kulikoni?. Mia

tisa december, miaka 50 kasoro tangu kifo cha tanganyika. kesho ukitaka kupiga picha ukanyoshewa kidole wewe piga tu. kidole hakizuii picha kupigika
 
Ndege zipi zile zilizochokaaaa!!
Angalia zisikutungukie
hahahaaaa nliziona
juzi nkahakikisha
tz tupo bin taabani
hahahahahaha ....mia
 
Ndege zipi zile zilizochokaaaa!!
Angalia zisikutungukie
hahahaaaa nliziona
juzi nkahakikisha
tz tupo bin taabani
hahahahahaha ....mia

Dada angu hii niliyo ionna leo sijawahi iona tangu Tanganyika ipate uhuru. Nafikili ndo zile ndege za Mizigo sababu inaweza beba basi nne. Bonge la ndege. ikikupita utaifuata mbio ukidhani itaanguka hapo mbele. Mia
 
Ndege zipi zile zilizochokaaaa!!
Angalia zisikutungukie
hahahaaaa nliziona
juzi nkahakikisha
tz tupo bin taabani
hahahahahaha ....mia
Flora uzalendo uko wapi yaani unadharau jeshi lako...Hujui kama tume thubutu, tumeweza na tunasonga mbele...alaaaaaaa
 
dada angu hii niliyo ionna leo sijawahi iona tangu tanganyika ipate uhuru. Nafikili ndo zile ndege za mizigo sababu inaweza beba basi nne. Bonge la ndege. Ikikupita utaifuata mbio ukidhani itaanguka hapo mbele. Mia

itakuwa mbov tu
labda tulinpora nduli
amini enzi zake af haijapigwa stata tena mpaka leo
fundi kaikarabati tangu mwaka juzi
leo ndo iko on test
rubani hapo kashalipwa chake
maana kinaweza kunuka
mda wowote!!ndo mana pick up chini ajili
ya kuwahisha majeruhi!
 
flora uzalendo uko wapi yaani unadharau jeshi lako...hujui kama tume thubutu, tumeweza na tunasonga mbele...alaaaaaaa

mwee kwani kipi bora
!!! Yaani kusifia
kitu kimagirini
wkt kinaweza kumdondokea mia mda
wowote!
Au kusema ukweli atimue mbio
ntapiteza v2 viwili figanigga
na nji ilishaingizwa
chaka kitambo
bora nimuokoe mia
 
Loo nchi yangu mbona huna hata kipaumbele. Kila wakati ngoma tu za mdundiko!
 
itakuwa mbov tu
labda tulinpora nduli
amini enzi zake af haijapigwa stata tena mpaka leo
fundi kaikarabati tangu mwaka juzi
leo ndo iko on test
rubani hapo kashalipwa chake
maana kinaweza kunuka
mda wowote!!ndo mana pick up chini ajili
ya kuwahisha majeruhi!
Samahani dada sina maana ya kukuvunjia hsim, je wewe unapata msuba?
 
Back
Top Bottom