Leo CHADEMA itafanya mkutano KARIAKOO SOKONI.

Mlisa

Member
Mar 20, 2012
28
1
CHADEMA Leo saa nane mchana itafanya mkutano wake Kariakoo sokoni na Afande Lema. M4C at work
 
Hii safi. Ni vema akagusia namna wafanyabiashara wa Kariakoo wanavyosumbuliwa na kodi, wakati makampuni makubwa yanapata misamaha.
 
Kila siku mikutano watu watafanya kazi za kuzalisha saa ngapi?. Chadema kweli wanaboa.
 
Tunajua magamba pia yamo uku yanajifanya mara oh kila siku mikutano kwan umelazmishwa? Ka vp potezea ila sisi tunaotaka mabadili ahhh haujatushawishi bado piiiipoooooooz?
 
Waacheni watu wafanye kazi mnawapa usumbufu Wananchi sasa Kariakoo huo mkutano utafanyika sehemu gani mnataka watu waibiwe vitu vyao pamaja na magari yao.
 
Waacheni watu wafanye kazi mnawapa usumbufu Wananchi sasa Kariakoo huo mkutano utafanyika sehemu gani mnataka watu waibiwe vitu vyao pamaja na magari yao.

Sio mkutano ball kikao sehemu za kazi.
 
​na nyie mnaoiibia taifa hamuwapi usumbufu mafisadi wa ccm mnaogopa m4c
waacheni watu wafanye kazi mnawapa usumbufu wananchi sasa kariakoo huo mkutano utafanyika sehemu gani mnataka watu waibiwe vitu vyao pamaja na magari yao.
 
Duh, huyu Lema ni kukamua kila mahali. Mara Tabata, Ilala Bungoni, Mchikichini, sasa Kariakoo, na kuendelea...
Nadhani sasa wataona kuwa afadhali alivyokuwa anabaki Bungeni, kwani sasa ana muda wa kutosha kukamua nchi nzima.
 
Waacheni watu wafanye kazi mnawapa usumbufu Wananchi sasa Kariakoo huo mkutano utafanyika sehemu gani mnataka watu waibiwe vitu vyao pamaja na magari yao.

Mbona wewe huendi kwenye vikao na kushinda ofisini ukichat facebook......huwezi itenga siasa na maisha ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom