Leo bungeni kuna mbungemmoja toka Zanzibar sifahamu kama ni wa CCM au CUF..Bada ya kumaliza kuchangiabajeti ya wizara ya Afrika Mashariki akamalizia kwa kusema...anaungana na Shibudakwamba wabunge waongezewe posho na mishahara sababu kiasi wanachopata sasa nikidogo sana. Akaongeza kuwa wana matatizo sana majimboni kwao hivo wanahitajimafao zaidi yawasaidie kutatua matatizo ya majimboni kwao. Wabunge wa CCMwakampigia makofi.
Cha kushangaza, Simbachawene aliyekuwa anaendesha kikao hicho akamsifia kwakuchangia hoja vizuri...akisema nimependa ulivochangia vizuri hasa hiyo hojayako ya mwisho, akimaanisha hoja ya kupandishiwa mishahara na posho kwawabunge.
Baada ya huyombunge kumaliza kuchangia, akafuatia Zito, naye alipomaliza kuchangia hoja yamsingi akaamua kujibu swala la mafao ya wabunge liloanzashwa na huyo Mzanzibar.Akasema anashangaa kuona kuna baadhi ya wabunge ambao bado wanataka waongezwemafao wakati watanzania wengi wako katika hali ngumu ya maisha, na pia serikaliinasema haina pesa hadi imelazimika kukopa ili kuweza kufanikisha mpango wadharula wa umeme. Iweje leo sisi tunaka tuongezwe mishahara na posho?..ebutuonyeshe kama sisi ni viongozi, tuwaonyeshe wananchi kwamba nasi tunajali matatizona kero zao. Alimalizia Zitto, pamoja na kuzomewa na Wabunge wengi waCCM.
Simbachawene, hakucomemnt kitu kuhusu issue ya posho bada yaZitto kumaliza kuongea. Lakini nakumbuka siku kadhaa zilizopita wakati hoja yaposho imepamba moto, Simbachawene alikuwa akihojiwa TBC kuhusu suala la posho,akasema anakubaliana nalo ila approach waliotumia CHADEMA haikuwa nzuri. Akaongeza,serikali imelisikia na itaangalia utaratibu mzuri wa kerekabisha posho hizo kwawatumishi wa uma ikiwemo wabunge. But you could see from his eyes, that he didntmean what he was saying and today I proved that bada ya kussaport point kuwa mafaoya wabunge yaongezwe, na kujifanya hajamsikia zito kuhusu wabunge kujalimatatizo ya wananchi.
Rai yangu kwa Simbachawene, CCM na serikali yake, pamoja nawanasiasa wengine ambao ni waongo, wanafiki na hawamaanishi kile wasemacho nikwamba..watanzania wa siku hizi tunafatilia mnachokisema, tunawaangiliamsemapo, na tunakumbuka msemacho. So unapoongea kitu hakikisha unamaanisha naunatoa kile kilicho moyoni mwako, kuliko kuongea kitu ambacho kinapinagana nadhamira yako. Koz uongo huwa haufichwi milele iko siku watu watajua ukweli tu..kama leo tulivojua kwamba ww na wabunge wengi wa CCM mkobungeni si kwa ajili ya kushughulikia kero za wananchi bali kwa maslahibinafsi..And we will keep on seeing your true colors.