MDAU JR
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 451
- 82
Wakuu naomba msaada ktk hili; nilikutana na lenovo X300 ikiuzwa nikaipenda kwa properties zake( 2GB RAM, 200 GB HD, webcam, dvd burner etc) nikamnunulia ndg yangu lakini yeye hakuipenda kwa mwonekano wake so how about ubora wake? kwa kuwa me c mtaalamu naomba mnijuze ikoje ni reasonable au nimeuvaa?