Lengo la kuiondoa CCM madarakani lipo palepale

Kama CCM mna ota kuwa mtaitawala nchi hii milele, kwa kweli mtakuwa mnaota ndoto za mchana aka Day Dreams na nawaomba sana msijidanganye kuwa JP ameuwa au anauwa upinzani zaidi anauimarisha upinzani kwa kasi ya ajabu.

Nia, lengo na madhumuni ya kuipapatua CCM lipo palepale na ni kama linazaliwa kila kukicha ,wataoapkufa watakufa ila 2020 haipo mbali, Zanzibar tayari CCM imeshaondolewa hilo halina mjadala, kinachoendelezwa ni ule ugumu wa kutoka roho haswa roho yako inapokuwa mbaya ,lazima utaleta makeke na kurusha madaluga, ukweli CCM imepigwa na chini.

Huku Tanganyika CCM imepenya kwenye tundu la sindano na pumua pumua yake imeenda kuvamia nyumba za masikini na kuvunja na si utekelezaji bali ni hasira, nchi inakusanya kodi kwa tamaa kuwa itawaokoa na kuwaweka katika hali isiyohitaji misaada, sasa jiulize hizo njia za kodi zikifungiwa na kufungwa ?

Kama ni kuabudu basi CCM muabuduni Lubuva kwani amewapitishaa njia ya shetani na mtaendelea nayo hio hadi 2020,ushindi wa Magufuli unatiliwa shaka sijui waliojiandikisha ni wangapi kura zikijumlishwa za Lowassa na magufuli zinatokea ngapi linganisha utaona kitu kisichowezekana kimetokezwa ni Lubuva na wenzake anaowajua yeye, uzuri ni kuwa maamuzi ya tume yaheshimiwe na ndipo tulipo ,goli la mkono tumeliona, sheria imeachwa kufuata mkondo wake sasa tunampa heshima Magufuli as our president, vipi ameshinda hilo si tatizo .

Tume huru ndio itakayosema kweli ila sio hii ya Lubuva na Jecha.
ccm itatawala daima
 
Kama CCM mna ota kuwa mtaitawala nchi hii milele, kwa kweli mtakuwa mnaota ndoto za mchana aka Day Dreams na nawaomba sana msijidanganye kuwa JP ameuwa au anauwa upinzani zaidi anauimarisha upinzani kwa kasi ya ajabu. si vizuri kujipa moyo hivo na kuendelea kuwapa matumaini watu wengine bila sababu.
kikichobaki sasa tujenge nchi kwa pamoja

Nia, lengo na madhumuni ya kuipapatua CCM lipo palepale na ni kama linazaliwa kila kukicha ,wataoapkufa watakufa ila 2020 haipo mbali, Zanzibar tayari CCM imeshaondolewa hilo halina mjadala, kinachoendelezwa ni ule ugumu wa kutoka roho haswa roho yako inapokuwa mbaya ,lazima utaleta makeke na kurusha madaluga, ukweli CCM imepigwa na chini.

Huku Tanganyika CCM imepenya kwenye tundu la sindano na pumua pumua yake imeenda kuvamia nyumba za masikini na kuvunja na si utekelezaji bali ni hasira, nchi inakusanya kodi kwa tamaa kuwa itawaokoa na kuwaweka katika hali isiyohitaji misaada, sasa jiulize hizo njia za kodi zikifungiwa na kufungwa ?

Kama ni kuabudu basi CCM muabuduni Lubuva kwani amewapitishaa njia ya shetani na mtaendelea nayo hio hadi 2020,ushindi wa Magufuli unatiliwa shaka sijui waliojiandikisha ni wangapi kura zikijumlishwa za Lowassa na magufuli zinatokea ngapi linganisha utaona kitu kisichowezekana kimetokezwa ni Lubuva na wenzake anaowajua yeye, uzuri ni kuwa maamuzi ya tume yaheshimiwe na ndipo tulipo ,goli la mkono tumeliona, sheria imeachwa kufuata mkondo wake sasa tunampa heshima Magufuli as our president, vipi ameshinda hilo si tatizo .

Tume huru ndio itakayosema kweli ila sio hii ya Lubuva na Jecha.
kamanda unaota ndoto mchana kweupeee. utawatoa ccm madarakani kwa ajenda gani labda tufafanulie vizuri ili hata wale tuliokata tamaa tufufuke. labda sass tuje na ajenda ya kuwajaza watu mapesa mifukoni. lakini kwa ajenda ya ufisadi tumeshafeli. sisi sasa ndio vinara wa ufisadi. tumewakumbatia na kuwasafisha wenyewee.kiufupi upinzani sasa kwishney tutafute mahala pa kutua.
hata Lowasa alisema wakati wa kampeni kuwa tukishindwa kuitoa ccm maarakani sasa hatutaweza milele. kwa sababu alijua jamaa hili linalogombea upande wa ccm ni jembe ulaya. trekta. hata yeye mwenyewe alishampa big up mara nyingi na anamkubali vibaya sana.
 
, ukawa mtaishia kutamani. Hata fisi hadi leo anangoja mkono wa mwanadamu ipo siku Utadondoka apate kitten......
 
kamanda unaota ndoto mchana kweupeee. utawatoa ccm madarakani kwa ajenda gani labda tufafanulie vizuri ili hata wale tuliokata tamaa tufufuke. labda sass tuje na ajenda ya kuwajaza watu mapesa mifukoni. lakini kwa ajenda ya ufisadi tumeshafeli. sisi sasa ndio vinara wa ufisadi. tumewakumbatia na kuwasafisha wenyewee.kiufupi upinzani sasa kwishney tutafute mahala pa kutua.
hata Lowasa alisema wakati wa kampeni kuwa tukishindwa kuitoa ccm maarakani sasa hatutaweza milele. kwa sababu alijua jamaa hili linalogombea upande wa ccm ni jembe ulaya. trekta. hata yeye mwenyewe alishampa big up mara nyingi na anamkubali vibaya sana.
natabiri, wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm .
 
Mkafie mbele, tuliwaamini kumbe ni mambwa mwitu mlojivika ngozi ya kondoo. Mmeshalaaniwa.
 
CCM kina viongozi wengi ambao wote hawawezi kupata cheo. Kwa hiyo wanakimbilia kwenye vyama vingine. Lowassa angepokelewa bila vurugu,Chadema ingeweza kushinda.Lakini Lowassa wakamuita fisadi amekuja kutusumbua.
 
Ndugu watanganyika Zanzibar kwaheri. Dhulma kwa wangwana haikubaliki - love you Zanzibar. jwtz wakupita tu.
 
CHADEMA itaingia madarakani siku mzee wa kubadilisha gear angani akiachia madaraka.
Kama CCM mna ota kuwa mtaitawala nchi hii milele, kwa kweli mtakuwa mnaota ndoto za mchana aka Day Dreams na nawaomba sana msijidanganye kuwa JP ameuwa au anauwa upinzani zaidi anauimarisha upinzani kwa kasi ya ajabu.

Nia, lengo na madhumuni ya kuipapatua CCM lipo palepale na ni kama linazaliwa kila kukicha ,wataoapkufa watakufa ila 2020 haipo mbali, Zanzibar tayari CCM imeshaondolewa hilo halina mjadala, kinachoendelezwa ni ule ugumu wa kutoka roho haswa roho yako inapokuwa mbaya ,lazima utaleta makeke na kurusha madaluga, ukweli CCM imepigwa na chini.

Huku Tanganyika CCM imepenya kwenye tundu la sindano na pumua pumua yake imeenda kuvamia nyumba za masikini na kuvunja na si utekelezaji bali ni hasira, nchi inakusanya kodi kwa tamaa kuwa itawaokoa na kuwaweka katika hali isiyohitaji misaada, sasa jiulize hizo njia za kodi zikifungiwa na kufungwa ?

Kama ni kuabudu basi CCM muabuduni Lubuva kwani amewapitishaa njia ya shetani na mtaendelea nayo hio hadi 2020,ushindi wa Magufuli unatiliwa shaka sijui waliojiandikisha ni wangapi kura zikijumlishwa za Lowassa na magufuli zinatokea ngapi linganisha utaona kitu kisichowezekana kimetokezwa ni Lubuva na wenzake anaowajua yeye, uzuri ni kuwa maamuzi ya tume yaheshimiwe na ndipo tulipo ,goli la mkono tumeliona, sheria imeachwa kufuata mkondo wake sasa tunampa heshima Magufuli as our president, vipi ameshinda hilo si tatizo .

Tume huru ndio itakayosema kweli ila sio hii ya Lubuva na Jecha.
 
Ndio tatizo lenu hilo,mna shida kubwa sana ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa,na hamuonyeshi dalili yoyote ya kubadilika.Kila anayempinga Mbowe basi mnadhani ni CCM,na kila anayemuunga mkono ni CHADEMA,what a narrow_mindedness! Another fact,CHADEMA itashinda urais wa nchi ikipata makada wengi wanaofikiri kama mimi,free minded members. Right now it is in the downward spiral due to close minded members like you.
Huwa napata raha sana Mbowe anavyowanyima usingizi
 
Ndio tatizo lenu hilo,mna shida kubwa sana ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa,na hamuonyeshi dalili yoyote ya kubadilika.Kila anayempinga Mbowe basi mnadhani ni CCM,na kila anayemuunga mkono ni CHADEMA,what a narrow_mindedness! Another fact,CHADEMA itashinda urais wa nchi ikipata makada wengi wanaofikiri kama mimi,free minded members. Right now it is in the downward spiral due to close minded members like you.

Duuuh nadhani ukijitolea kumpa tuisheni ya lugha mtu flani hivi utamsaidia aache kuwa anawaalika mabalozi ofisini kwake na kukimbia kabisa mkoa anaoishi
 
Back
Top Bottom