Lengo KUU la VITAMBULISHO vya URAIA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Ni kupata idadi kamili ya wapiga kura ili kama uchakachuaji unafanyika,basi ufanyike kiustadi mkubwa.'Kikompyutakompyuta'.NIDA wameshaagizwa kuhakikisha wanafananisha watakaoandikishwa na wale walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga kura ili kujua hasa vituo vya kuigia kura. Wameshakabidhiwa nakala za Daftari la Kudumu.Hujiulizi kwanini vitambulisho wapewe tu miaka 18 na kuendelea? CHADEMA watatoa sera,CCM wataiba kura...
 
Nimeshajiandikisha, na baadaye nikajiuliza, hapa wanataka kutengeneza vitambulisho vya uraia au UKAAZI?
 
Back
Top Bottom