Lema to Nassari: "Nitakupa mil. 10.... Jipe moyo utashinda"

user-offline.png
chatu dume

31st March 2012 12:37
#1
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 27th February 2011
Posts : 5,423
Rep Power : 1317
Likes Received468
Likes Given2

[h=2]
icon1.png
Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni[/h]
Chaguzi ndogo Arumeru unafanyika kesho na mshindi ni CCM, natoa ahadi Chadema wakishinda najinyonga mpaka nakufa tutaona kesho wakati wa kutangaza matokeo.​

Hao ndiyo wana sisiemu, hata kwenye kampeni zao maneno kama haya ndiyo zilikua sera zao. mungu niepushe na janga la kuwa mwanasisiemu
 
Nassari alisema mwaka 2010 alipoamua kugombea ubunge... Lema alichukua karatasi alimwandikia tumaini, jipe moyo na utashinda, akampa akamwambia hiyo ndiyo milioni kumi".
Mbona alishindwa na hicho kikaratasi?

Tusidanganyane, Lema alidanganya.
 
Jamani Chatu dume atafutwe

Hicho nikiapo alichotuahidi wiki iliyopita

Au akane mbele yetu kunamtu alimshauri aandike stement ile

Big up cdm

pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Mbona alishindwa na hicho kikaratasi?

Tusidanganyane, Lema alidanganya.

Lazima uget used na huu msemo, " haki ya mtu haipotei, inaweza cheleweshwa tu". ndiyo ilivyokuwa kwa Mh Nassari,..got it??
 
Lema ni psychologist, alipomwambia Dogo Janja komaa nitakupa 10 mil. Dogo Janja alijua alichomaanisha Lema
 
Lazima uget used na huu msemo, " haki ya mtu haipotei, inaweza cheleweshwa tu". ndiyo ilivyokuwa kwa Mh Nassari,..got it??
na wewe ushawahi kusikia msemo "Justice delayed is justice denied"?

Mtu mkweli hawezi kuahidi mwenzie fedha halafu anakuja kumpa kikaratasi cha pep talk. Alidanganya, Nassari akakosa plan ya fund raising maana alitegemea kuwezeshwa na Lema, matokeo yake akashindwa kufikisha ujumbe wa kampeni , akashindwa, kikaratasi hakikusaidia.
 
Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?

tatizo lenu mmezoea kupewa hela na kula maubwabwa wakati wa kampeni za CCM ndo maana mnaona hakuna kinachowezekana bila pesa ...
 
Lema alilinda kura arumeru baba mkwe na sioi walibaki midomo wazi maana pakupenyeza magumashi hapa kuonekana.respect bro
 
Si kila mtu anaelewa falsafa ya....................... jipe moyo utashinda = 10,000,000/=

Kama angeshindwa maneno haya yangenguwa na thamani ya milioni 10?

Kumbe siku hzi unaweza kuahidi fedha ukalipa maneno.....Bora angepatia milioni 10 kieleweke
 
tatizo lenu mmezoea kupewa hela na kula maubwabwa wakati wa kampeni za CCM ndo maana mnaona hakuna kinachowezekana bila pesa ...
Tatizo la watu waliyoivamia Chadema ndio unalo hata wewe yaani mtu yeyote akitofautiana mtazamo na watu wenye akili mgando kama za kwako unampachika kwamba ni CCM!!??
Hii ni hatari sana kama mnataka wote tunaoipenda na kuisupport Chadema basi tuwe tunaimba nyimbo moja hata pale unapoona hili halikuwa sahihi.

Bado nasisitiza ile Chopa iliyotumika kwenye kampeni zilizoisambaratisha CCM isingepatika kwa hicho kikaratasi cha Lema. Mimi hata Dr Slaa hakikosea nitasema mapungufu hayo kwa hiyo am sorry kama kutofautiana na ninyi ndio kuwa mtu ni CCM basi hamtokuwa na tofauti na wale wafu waliopo CCM wanaopiga kura kwa mazoea na ambao walishakufa siku nyingi ingali wako hai.
 
Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?

fear is there somewhere in your head! what he gave him was hope and courage wi-hich its value worth moe than 10mio! wewe wa wapi kaka?
 
fear is there somewhere in your head! what he gave him was hope and courage wi-hich its value worth moe than 10mio! wewe wa wapi kaka?
Nakubali kutokukubaliana kwenye hili!!......usilazimishe niamini unachoamini wewe.
 
na wewe ushawahi kusikia msemo "Justice delayed is justice denied"?

Mtu mkweli hawezi kuahidi mwenzie fedha halafu anakuja kumpa kikaratasi cha pep talk. Alidanganya, Nassari akakosa plan ya fund raising maana alitegemea kuwezeshwa na Lema, matokeo yake akashindwa kufikisha ujumbe wa kampeni , akashindwa, kikaratasi hakikusaidia.

it is injustice to delay justice, but delayed justice is still justice.
 
Thread uchwara ndio hizi......karatasi linaweza kugharamia kitu gani katika kampeni? unaweza kwenda kwenye mgahawa ukapewa chakula na baada ya chakula ukawaonesha likaratasi kwamba haya ndiyo malipo?

Ndugu, pesa si kila kitu ndugu. Lema amejitoa na amejitolea kwa moyo kumsaidia Nasari kushinda Ubunge. Aliwahamasisha vijana kwenye kampeni kujitokeza kupiga kura na kulinda kura zao. can you cost that? Pia alishiriki kama wakala katika moja ya vituo na alikuwa na kijana hadi matokeo yanatangazwa... Hiyo ni zaidi ya milioni kumi aliyosema.
 
"Nassari alisema mwaka 2010 alipoamua kugombea ubunge akiwa kijana mdogo, alikwenda kwa Godbless Lema kuomba ushauri wa kugombea nafasi hiyo.

Alisema Lema alimshauri akapambane katika chama na akipitishwa kura za maoni, amfuate atampatia Sh. milioni kumi na alipomfuata baada ya kupitishwa Lema alichukua karatasi alimwandikia tumaini, jipe moyo na utashinda, akampa akamwambia hiyo ndiyo milioni kumi".

Hoja ni Millioni 10 na sio kumsaidia hamasa Joshua Nassari au lah....naomba Lema asipewe cheo cha umalaika kana kwamba hana mapungufu ya kibinadamu au hawezi kukosea, tupunguze ushabiki wa kijinga.
 
Back
Top Bottom