LEMA ni zaidi ya MALEMA!

Kwa imani tuliyonayo wanaarusha na watanzania kwa ujumla juu ya Lema na ukombozi, siku akitusaliti tutambia atafute kaburi ajizike ili tusimuone tena. MAY ALMIGHTY GOD BLESS OUR HERO
 
Machalii wa Arusha mkishapata supu za ulimi wa ng'ombe mnakaa kwenye vijiwe vyenu na kuanza kumsifia Lema, bila sababu kumfananisha Lema na Malema, ni sawa na kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

Ritz huwa sipendi kukujibu
Ila hapa inabidi niseme wazi. Kusema unalolisema ni kuwatukana watu wa arusha
Sio kweli kwamba watu wa arusha ni wakaa vijiweni bila kazi eti wale nyama na kunywa supu ( maana hata hiyo nyama na supuni pesa). Sijui haya matusi mnayatoa wapi
Wanaomshabikia au wanaoshabikia CDM sio vijana wa kijiweni kama mnavyowaita wala sio wahuni wa mtaani kwa mnavyopenda kuwaita
Ni rika na watu wa kada zote waliotoa kura zao wakampa Lema kuwa mbunge wao na wanazidi kushikamana nae hata wakati wa kesi yake. Kuwaambia watu wote hao kuwa ni vijana wa kijiweni ni kuwakosea adabu watu wa arusha. As if wao hawana akili ni malimbikeni na wajinga wanaomshabikia Lema. Jiulizeni ni kwa nini yametokea hayo kabla ya kufikia kuhukumu kuhusu Lema na watu wa Arusha. Kuna walichokikosa kwa miaka yote ambayo arusha imekuwa na mbunge kutoka chama chenu. Ndo maana alipopatikana Lema ambaye anakaa nao na kuongea nao na kuwafuata waliko ndo maana wanampenda. Sio huyo wa chama chenu aliyekuwa anajifungia kwenye V8 yake anawatimulia vumbi
 
Last edited by a moderator:
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia. Binafsi najua mji wa arusha unaweza kuwa wa kwanza kwa matukio ya uhalifu , so LEMA lazima atakuwa na marafiki wengi sana wanaotaka kujificha kupitia yeye na kwa maana hiyo wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana katika kufanya fujo na ikaonekana kuwa anashangiliwa LEMA.

Unacheza ndugu ya yangu.Lema nimemjua akiwa TLP alikuwa kaikimbiz sana Arusha.Na ushindi wa Mrema ulitokana na TLP kukosa walinda kura waliopo CDM, na mara Nyingi walishia mbembeleza huku wakimtisha Lema kukubaliana na wizi wao.Ilifikia mahalai watu wafuasi wake wakamwona kuwa alikuwa akiuza ushindi.So hiyo miaka miwili ni yako wewe kumjua akisimama kwa ticket ya CDM.Pleaaaaase usitake jenga hoja zilizoanzia ktk midomo ya watu jamii ya Mkama na Wassira.

Pamoja na kuwa Lema sasa Akienda mikoa mingine tayari habari zake zilishafika ila akisimama asipojulikana na kuongea for sometimes wapo wengi tuu watajivuta.Lema hata endapo bungeni popote akisimama huwa panageuka kuwa mkutano.Kama utasema mto wa mbu bado ni Arusha sijui utasemaje incidence ya Iringa baada ya Mkutano?Aliposema kuwa natembea kuelekea hivi kwa wale wenye kuelekea njia hiyo wanaweza fuatana nae ila si maandamano,muda si mrefu polisi wakapiga mabomu...pengine ni influence za ccm zinakufanya ufikiri kwa mapungufu namna hii.
 
Machalii wa Arusha mkishapata supu za ulimi wa ng'ombe mnakaa kwenye vijiwe vyenu na kuanza kumsifia Lema, bila sababu kumfananisha Lema na Malema, ni sawa na kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

kumbe JF tuna MKASHARI tena original.....sikujua.....
 
mmhhhhhhhhhhhhhhhh kuna upofu wa kuzaliwa na wa kujitakia kazi ipo! Jamani umaarufu wa Lema zaidi ya Arusha upo wapi? Si alijaribu M4C kwenye vitongoji vya Dar aliona shuguli ilivyokuwa ngumu; Malema kila kona South Africa ni gumzo na anakubalika na wengi sana acheni kufananisho mlima na kichuguu, kweli Mrisho Ngasa anacheza soka lakini kumfananisha na lionel Messi ni kichekesho na dhihaka kubwa kwa wapenzi wa soka!

Chama
Gongo la mboto DSM
chama kitu usichokijuwa ni bora uulize, Malema hawezi kuwa maarufu kila kona South Afrika, umeshawahi kumuona Malema Cape Town? naifahamu vyema South Africa mtu maarufu nchi nzima ni Mandela peke yake.

South Afrika ni nchi ya majimbo na ukabila pia, kila mtu ni maarufu kwenye kabila lake na si nchi nzima, ila nakubali kwamba ANC ndio maarufu South Afrika nzima lakini si kiongozi mmoja mmoja.
 
Last edited by a moderator:
CUF Haiwezi kitu,sawa inaongozwa na msomi lakini imejigawa ovyo makundi makundi,mfano wanapovaa kibaragashia kama mashehe sisi tuwaelewaje? Waende zao ng'ambo ya bahari ya hindi wakaendeleze chama chao siyo hapa kwetu
 
Machalii wa Arusha mkishapata supu za ulimi wa ng'ombe mnakaa kwenye vijiwe vyenu na kuanza kumsifia Lema, bila sababu kumfananisha Lema na Malema, ni sawa na kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

We unacheza ,ni kama uende Mbeya ukaseme Mr II wampendao ni wa design yako.Lema anao wapinzani ndio pale Arusha.Ila Walio wake hakuna mfano.Kikwete ,baraza la mawaziri na crew nzima ya bunge alifunikwa pale Meru alipotakiwa simama ktk mazishi ya Sumari.Ni busara tuu ya CDM ilitumika Lema akatoroka kwa gari ingine na kwenda subiri familia njiani ambapo napo alipoonekana na watu walitaka aweke kajukwaa aanze hutubia.Polisi wakaanza pitisha mashambulizi.Nape aliishia sema siasa ziliingizwa Meru,badala ya kushukuru.

Kwa taarifa yako supu za ulimi, masikio, makanyagio, pua, tezi za kiume za ng`ombe na Mbuzi,utumbo ni chakula cha kaskazini na huliwa na watu kuanzia kilimanjaro hadi manyara.Unavyosema machalii unapotoka.Arusha wanaokaa bure ni wala mirungi wa CCM ,wale vijana wakao misikitini na vijiweni wanaoishi kwa kodi za nyumba za urithi na biashara za kuuza maandazi, miili, na mirungi huku wachache wakiuza nguo na used electronics wakiwa na connection na ndugu zao nje.Hawa wengi si wa Lema,kwani kwao hafai aktk kesi za nyumba zenye wakfu.
 
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.

Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.

Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.
 
Punguza "Tantararira" kwa hiyo Msikitini hakuna wafuasi wa Chadema Arusha.
 
Magamba bwana! haya lema ni muhalifu kama wale mafisadi wenu kwenye chama but kwa kuwa kiongozi mkuu ni dhaifu then ndio maana wa halifu wanakula maisha kwani hata muheshimiwa dhaifu na yeye ni kubwa la maadui
 
Punguza "Tantararira" kwa hiyo Msikitini hakuna wafuasi wa Chadema Arusha.

Ndio kitu ulichopenda kiwe hivyo.HUjaona nimekuambia kuwa si wengi, hasa wale wenye maslahi ktk nyumba za uridhi zenye wakfu.Kwani huko mara nyingi CCM na msikiti ndiye msuluhishi na wala si mahakama.Hawa ni vigumu kuiona CDM popote,kwani kuwaingia CDM ni kukosa favour katk hizi kesi.
 
Machalii wa Arusha mkishapata supu za ulimi wa ng'ombe mnakaa kwenye vijiwe vyenu na kuanza kumsifia Lema, bila sababu kumfananisha Lema na Malema, ni sawa na kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Tegeta.

Yote ni milima, mmoja upo Dar mwingine upo Moshi
 
mmhhhhhhhhhhhhhhhh kuna upofu wa kuzaliwa na wa kujitakia kazi ipo! Jamani umaarufu wa Lema zaidi ya Arusha upo wapi? Si alijaribu M4C kwenye vitongoji vya Dar aliona shuguli ilivyokuwa ngumu; Malema kila kona South Africa ni gumzo na anakubalika na wengi sana acheni kufananisho mlima na kichuguu, kweli Mrisho Ngasa anacheza soka lakini kumfananisha na lionel Messi ni kichekesho na dhihaka kubwa kwa wapenzi wa soka!

Chama
Gongo la mboto DSM

Umeota mchana, mbona kwenye kesi ya chenge aliyegonga sikuona hata sisimizi? au unataka kutukumbusha nchimbi alivo furumushwa na maandamano ya wana habari, unajichora tu
 
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.

Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.

Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.

Hizi ni pumba zilizopitiliza, hivi ukienda kuhudhuria kesi mahakamani wewe huna ajira!!
 
Inategemeana na aina ya viajana wanaobeba mabango hayo. JULIUS MALEMA mimi ninavyojua, huwa vijana wazee na makundi mbalimbali wanaacha kazi maofisini, biashara zao na kwenda kumsikiliza. Ni aibu kubwa sana kufananisha kazi anayoifanya JULIUS MALEMA kwa waafrika kusini na huyu jamaa wa arusha. LEMA ana mambo mengi sana anayojificha kupitia kivuli cha siasa. umaarufu wa LEMA hauna hata miaka miwili na kila mtu anajua kabla ya hapo alikuwa anafanyakazi gani tena kazi zinazohatarisha maisha ya raia wasiokuwa na hatia. Binafsi najua mji wa arusha unaweza kuwa wa kwanza kwa matukio ya uhalifu , so LEMA lazima atakuwa na marafiki wengi sana wanaotaka kujificha kupitia yeye na kwa maana hiyo wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana katika kufanya fujo na ikaonekana kuwa anashangiliwa LEMA.

Lema husikizwa na wote, Lema anapendwa na wote. Wazee, na Vijana, Wake Kwa Waume.

Na ukisema ni aina gani ya vijana unaanza ubaguzi, na ndio kilichowauwa CCM Arusha.

Arusha hakuna limbukeni, kila mtu hufanya kitu kwa sababu, sio ulimbukeni ama mkumbo mkuu. Kama huamini njoo uchunguze.

Lema akipita barabarani ujue kazi zote hata wizi husimama kwa muda.

Akienda Sokoni watu wanajaa
Akienda Kanisani watu wanajaa
Akienda Msikitini watu wanajaa
Akienda Viwanjani watu wanajaa
Akienda Mahakamani Watu wanajaa
Akienda Gerezani watu wanajaa

Kwenye ile Range si pameandikwa hivi "Utakataa Usoni, lakini Rohoni unakubali". Hata wewe chunguza si ajabu mkeo na the rest ya familia wanakubali.
 
Punguza "Tantararira" kwa hiyo Msikitini hakuna wafuasi wa Chadema Arusha.

Tungependa iwe hivyo lakini wenzetu wanakuwa affected na nani yupo madarakani na sio anafanya nini kwa mustakabali wa nchi.
 
Mr Rocky,
Sijui ni wapi nimetoa matusi dhidi ya watu Arusha, nilichosema vijana wengi wa Arusha hawana ajira ili sio tusi wa dhihaka, mfano umeuona jana mahakama kuu Arusha.

Wale vijana wafuasi wa Chadema waliokusanyika mahakama kuu ya Rufaa kanda ya Arusha, wengi hawana ajira, kama wangekuwa na ajira wala wasingekwenda kushinda mahakamani, hakuna muajiri ambaye anaweza kutoa ruksa kwa wafanyakazi wake kwenda kushinda mahakamani.

Wngekuwa kwenye miradi yao ya uzalishaji au viwandani, mashambani, wasingekuwa na muda wa kwenda kushinda mahakamani.
Samahani tu mkuu wangu labda tu ungeniambia na wewe unayeshinda hapa JF huna kazi/ajira? au hapa ndio upo kazini?
 
mmhhhhhhhhhhhhhhhh kuna upofu wa kuzaliwa na wa kujitakia kazi ipo! Jamani umaarufu wa Lema zaidi ya Arusha upo wapi? Si alijaribu M4C kwenye vitongoji vya Dar aliona shuguli ilivyokuwa ngumu; Malema kila kona South Africa ni gumzo na anakubalika na wengi sana acheni kufananisho mlima na kichuguu, kweli Mrisho Ngasa anacheza soka lakini kumfananisha na lionel Messi ni kichekesho na dhihaka kubwa kwa wapenzi wa soka!

Chama
Gongo la mboto DSM

nani akakuambia Dar hakufanya kazi pamoja na dar watu kupoteza muda mrefu zaidi barabarani.Au ile picture ya kijinga mliyopost imekudangaya na wewe mwenyewe?Picture mliyopiga mbele kabisa ya watu pakiwa na nafasi waliocha watu kukwepa jua huku vivuli vikikupita bila wewe kujijua?Kweli mwongo hujindanganya on the way baada ya kurudiarudia uongo sana.

Kamuulize makinda,sita, dhaifi, pinda, msekwa na wengine waliokwenda mzika sumari arumeru.Wote walikuwa wageni ila nani angebaki hadi mwisho basi kila mtu angesubiri lema apite ndipo wapate njia.

Kule Iringa hadi wakapigwa watu mabomu kulikuwa ni arusha?
 
Watu wengine kama wanazungumzia "mfereji wa mpunga". Kwani uhalifu ndo umeona hoja ya kumchafua LEMA? Ameua nani? Kamwambie CHENGE kuwa wewe na LEMA nani muuaji?
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom