Lema: Lowassa, Sitta na Mwakyembe kuhamia CHADEMA

Lema amewataja Ndg. Edward Ngoyai Lowassa, Ndg. Samweli Sitta na Ndg. Harisson George Mwakyembe kuwa ni kati ya vigogo walioomba kuhama kutoka CCM kuja CDM.

Source:
Nimehudhuiria mkutano wake wa jana!
Lema is history!
Kwa Sitta na Mwakyembe kuhama CCM ni sawa na kituambia mto Pangani utabadili njia na kupanda mlima Kilimanjaro.
Mliokuwa mnafikiri Lema ni kichwa shuhudieni huo uozo.
 
Hivi ina maana siku zote watu wa Chadema mnasema EL ni fisadi kwa kuwa tu yuko CCM? Mnamaanisha EL akihamia Chadema basi ufisadi manaomtuhumu unabaki CCM?

Ndio maana sipendi siasa na kazi za kisiasa.
Mimi simpendi EL. Lakini nikuambie siasa ni tofauti na unavoilewa. EL kuhamia CDM kavukavu tu kama ilivo sasa haitawezekana. Hilo litategemea kama ataonyesha pasipo shaka kuwa hakuhusika na kashfa hizo na kuwataja wahusika hasa. Hii itabidi iwe tukio la karne Katika siasa za Tanzania ili hilo liweze kutokea na watu pamoja na CDM tumwamini. EL kuhama ccm ni tulio linaweza hata kumwondosha JK madarakani kabla ya 2015.
 
Lema is history!
Kwa Sitta na Mwakyembe kuhama CCM ni sawa na kituambia mto Pangani utabadili njia na kupanda mlima Kilimanjaro.
Mliokuwa mnafikiri Lema ni kichwa shuhudieni huo uozo.

Ebu amka wewe na utumie vizuri akili yako,usikurupuke, uozo si wa Lema ni wa mtoa mada,kama hatathibitisha habari hii kuwasilishwa katika media yoyote ya kuaminika basi yeye ndiyo uozo kwani atakua amesikia yeye tu
 
Viongozi wetu wa CHADEMA nadhani nao ni muhimu wakawa makini sana kwa kauli ambazo wanazitoa katika media. Maana style ambayo naiona kwa sasa ni ya kuwindana hasa pale mtu anapochemka kitu flani.
 
Watanzania tumekuwa vinara wa events na magwiji wa analysis, lakini upande wa ideas na execution (i.e job well done), am standing to be corrected but for sure we are real poor. Let us critically discuss for sure dhambi ya Lowasa isiyotakiwa toba ni ipi? Je, ni RICHMOND? kUJIUZULU UWAZIRI MKUU? UTAJIRI? Ama nini hasa? Tuongee kwa facts ni si hisia.
 
Nasikia Mzee Wa Gombe karudishwa msituni na Balozi Kagasheki wakisaidiana na Nyalandu wakati wakuapishwa viwanja vya Ikulu baada ya kuona nyaraka ya serikali anazagaa ovyo
 
Watu wakisikia kitu chochota kuhusu chadema masikio huinuka juu!!

Mimi ninaamini Mowe na DR Slaa papmoja na timu nzima ya CDM watacheza vizuri hili gemu na kushinda mitihani yoote!!

Wakishindwa tutalia na nani sisi makabwela!
 
chadema itasambaratika ndani ya mwaka-nyani

Ahahahah!Saint Ivuga embu hacha utani wako,umenifanya nionekane chizi kwenye bus maana naelekea mkoani,niliposoma post yako nimecheka mpaka niliyekaa nae akaniuliza nini!nikamuonyesha asome thread nzima nae kabaki hana mbavu
 
mmmh haya ngoja tusubiri tuone lkn yote hayo yanawezekana ila sitta na lowassa kuhamia chama kimoja?? wakati ni kambi mbili tofauti sijui ngoja tusubiri.
 
Waanzilishi na wafadhili wa CCJ, Sitta na Mwakyembe. Wanaotaka kuhamia CDM, Sitta na Mwakyembe. CCM fukuza hawa wanafiki before it is too late.
 
Mimi simpendi EL. Lakini nikuambie siasa ni tofauti na unavoilewa. EL kuhamia CDM kavukavu tu kama ilivo sasa haitawezekana. Hilo litategemea kama ataonyesha pasipo shaka kuwa hakuhusika na kashfa hizo na kuwataja wahusika hasa. Hii itabidi iwe tukio la karne Katika siasa za Tanzania ili hilo liweze kutokea na watu pamoja na CDM tumwamini. EL kuhama ccm ni tulio linaweza hata kumwondosha JK madarakani kabla ya 2015.

Huyo ndiyo Lema na hiyo ndiyo tabia yake ya uropokaji,kiongozi bora huyooo! Ha ha ha ha ha
 
Lema is history!
Kwa Sitta na Mwakyembe kuhama CCM ni sawa na kituambia mto Pangani utabadili njia na kupanda mlima Kilimanjaro.
Mliokuwa mnafikiri Lema ni kichwa shuhudieni huo uozo.

Masopakyindi hilo la maji kubadili njia linawezekana kwani ni juzi tu tulishuhudia kombe la uefa likiacha makazi yake ya munichi iliyoyazoea na kufurikia eneo la jangwa la london
 
Back
Top Bottom