Ngoiva Lewanga
Senior Member
- Aug 19, 2011
- 160
- 19
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.
Sifa kijinga.
acha uzezeta, eti ''mzee'' wa kutumia masaburi.
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.
Sifa kijinga.
Hii mikutano isio na maana itakwisha lini? Mlikuwa mkilalamika kuhusu safari za kikwete sasa naona hawa kina lissu wamemshinda hata Rais kwa safari. Kila kukicha wao ni safari na mikutano lakini mpaka sasa hakuna wanalofanya kwenye majimbo yao. Hizi posho zitawaua hawa wabunge njaa.
mkuu Omr unalinganishaje safari ya Kikwete nje ya nchi na Tindu Lisu ndani ya nchi?
Jana Lisu alikuwa Mwanza, leo yupo Arusha wakati jimboni kwake wanakufa njaa.
Sifa kijinga.
Inashikika?magwanda mmezoea matusi. Shika adabu yako.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, wala hata hujui majukumu ya mbunge ni yapi. Kakwambia nani kazi ya mbunge ni kujenga barabara?Nenda kadoee ubwabwa kwa majuha wenzako.Je Lema ameshajenga barabara ngapi za Lami katika manispaa ya Arusha? Kwani mpaka sasa manispaa ya Arusha haina barabara hata moja ya Lami zilizopo zote ni za Serikali kuu chini ya Tanroad.
Kama upo Canada na mawazo finyu kama haya walah unaiabisha nchi yetu.Kila siku, utasikia fulani kafunika mbeya, mwanza,Arusha, kili....
Kama mnataka kuuza sera, nadhani mngeanza kushambulia Ntwara, Lindi,Tanga, UNGUJA.....
Chama cha kanisa!
Nope!!.... jamaa hawa huwa wanafuatilia hukohuko, na wameshaona hawa wanasiasa wote hawana mpango. Soma makala yawaandishi wao kuhusu madini mkuu. Huna haja ya kuwapa hadithi, wanajua gemu lote..... nyie jioneni wajanja tu.Kama upo Canada na mawazo finyu kama haya walah unaiabisha nchi yetu.
Unamaana kuwa safari za humu nchini anazifanya kwa kutembea kwa miguu? Na analala ofisi za CDM?mkuu Omr unalinganishaje safari ya Kikwete nje ya nchi na Tindu Lisu ndani ya nchi?
Nilisha sema kabla kuwa sio mtumwa ni CCM yenyewe.Mkubwa! Huyu Omr ni mmoja kt ya wale watumwa wa sisiem ndiyo mzingo humu jamvini.