Lema kwa hili umetu disappoint wakazi wa Arusha

unamlaumu nan thatha?kutokana na upeo wenu mdogo ndo haya sasa yanatokea,tatzo mlchagua chama na sio m2,,these are impacts ...jitu n ropokaji(fungen mlango 2pigane) et mbunge huyooo hahah..jambaz hlo..lnafcha maovu yke kwa ubunge ili acjulikane zombe akafchua,,mara katbu alaf ana mkana...
 
You are right mkuu, Arusha haina Mbunge wa kuwatetea.
Lema amekaa kimagwanda zaidi, maandamano kwa kwenda mbele.Vita haijawahi kujenga-maafikianao ndo unampata maendeleo.
This is a warning shot, Lema asipowaridhisha wana Arusha kwa kile walichomchagua kuwatetea ili maendeleo yapatikane -this will be his last position.
Watu wanapenda u-ONE MAN SHOW,mbunge na madiwani wakiwa na umoja ndio mikakati ya maendeleo ya wananchi at grass roots yanapatikana.
Mtu ukiamua kupambana na serikali ya magamba, hukosi wapambe, lakini grassroots hizo hizo ndo zinaumia.
Lema ni kimagwanda zaidi-maandamano kwa kwenda mbele.
BREAKING NEWS : mpambe wa Lema mbaroni kwa ujambazi Arusha!!
Baada ya kuapishwa Jakaya Mrisho KIkwete amesafairi mara 315 nje ya nchi gharama zake kwa safari zote hizo ni bajeti ya Tanzania kwa miaka mitano mbona huulizi huyu,tuna Raisi sisi au tuna korokotwa kama Mkapa alivyosema pale jangwani, akiwadhihaki wa pinzani embu tueleze Fedha zilizolipwa na Tanesco juzi kwa Dowans sizingeenda kujenga machinga complex kwenye miji yetu ikiwemo Arusha ,Ridhiwani na Kasene ,kupitia Masaburi wanajimilikisha UDA,Salma Kikwete kala pesa zote za Sidiria za kuzuia kansa ya maziwa halafu unatuletea upuuzi wa wako hapo hatudanganyiki
 
Back
Top Bottom