Lema kuwashukia Ole Sendeka, Wassira na Lusinde

Kwa wasira na lusinde itakuwa kama kwa nchemba,maandalizi ya kila namna yafanyike wasije wakajikuta wanapopolewa kwa mawe.KUMBUKA SHIGELLA NA NAPE WAMEAHIDI KULIPIZA KWA YALIYOTOKEA KIJIJI CHA NSAGO,NADHANI NDO MUDA WAO KUTIMIZA ADHIMA YAO
Limezingatiwa mkuu lakini kumbuka Wasira majuzi alizomewa vibaya sana jimboni kwake hivyo hana nguvu kiivyo labda akodishe vijana kutoka mikoa mingine kama alivyofavya mwigulu Nchemba.
 
Ole Sendeka naona kama ameshajua nini kinafuata kwakua tokea vikao hivi vya bajeti vianze amepwaya sana kule mjengoni sio kama ninavyomjua!
Mimi hata sija msikia tangu Ole Milya ahamie chadema...
 
Tunaomba hizo ratiba tuwe tunazipata mapema kupitia ofisi za majimbo yote TZ maana kuna wengine tumeshaamua liwalo na liwe,tuko tayri kushiriki katika baadhi ya maeneo kama kwa yule bingwa wa kusinzia aka Nyara ya serikali,kwa mzinzi no1 nyigulu,kibajaji-lusinde.huko inatakiwa inapigwa ile nyumba kwa kwa nyumba,naona kuna haja ya kwenda kwa Ndugai pia maana anvyokuja sio sawa.M4C daima.
Mkuu jigoku nitaweka ratiba hapa JF...
 
Last edited by a moderator:
Huyu Lema anapotea taratibu, tunampa miezi 6 tu.hivi sasa amekosa muelekeo,karibu atasahaulika kabisa. Hii ndio bongo jamani. CDM wameona bora wamsitiri na viposho vya M4C lasivyo atakufa njaa.
 
Huyu Lema anapotea taratibu, tunampa miezi 6 tu.hivi sasa amekosa muelekeo,karibu atasahaulika kabisa. Hii ndio bongo jamani. CDM wameona bora wamsitiri na viposho vya M4C lasivyo atakufa njaa.

Kwani kabla ya ubunge alikuwa anasitiriwa na masaburi yako...
 
Kuweni makini na mikutano yenu msije kupiga raia mawe na fimbo mpaka wapoteze maisha...

Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom