Lema kuwashukia Ole Sendeka, Wassira na Lusinde

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Movement For Change (M4C) a.k.a Vua Gamba Vaa Gwanda jumatatu itatua Simanjiro kwa Ole Sendeka kwenda kuwa vua magamba pamoja na kumtambulisha kamanda wao mpya Ole Milya, watazunguaka kata 14 wakiwavua magamba na kupokea wanachama wapya na kisha wataenda jimboni kwa bingwa wa kusinzia bungeni Wasira na kumalizia kwa Lusinde..
 
Huko Bunda wameshafunga kazi, ndio maana haka kakilaza kengine Bulaya kameona chama lao halina future na kuamua kujiweka mbavuni mwa makamanda.
 
Tunasubiri hapa ORKESUMET dizaini ya jangwa lisubirivyo japo tone moja la mvua. Can't believe until i c.
 
Ole Sendeka naona kama ameshajua nini kinafuata kwakua tokea vikao hivi vya bajeti vianze amepwaya sana kule mjengoni sio kama ninavyomjua!
 
Tunaomba hizo ratiba tuwe tunazipata mapema kupitia ofisi za majimbo yote TZ maana kuna wengine tumeshaamua liwalo na liwe,tuko tayri kushiriki katika baadhi ya maeneo kama kwa yule bingwa wa kusinzia aka Nyara ya serikali,kwa mzinzi no1 nyigulu,kibajaji-lusinde.huko inatakiwa inapigwa ile nyumba kwa kwa nyumba,naona kuna haja ya kwenda kwa Ndugai pia maana anvyokuja sio sawa.M4C daima.
 
Kwa wasira na lusinde itakuwa kama kwa nchemba,maandalizi ya kila namna yafanyike wasije wakajikuta wanapopolewa kwa mawe.KUMBUKA SHIGELLA NA NAPE WAMEAHIDI KULIPIZA KWA YALIYOTOKEA KIJIJI CHA NSAGO,NADHANI NDO MUDA WAO KUTIMIZA ADHIMA YAO
 
Huko Bunda wameshafunga kazi, ndio maana haka kakilaza kengine Bulaya kameona chama lao halina future na kuamua kujiweka mbavuni mwa makamanda.
Jiandaeni makamnda wanatua huko wakiwa full.
 
Back
Top Bottom