Lema kuunguruma NMC Jtano

Nadhani Lema na CDM wangeachana na mkutano huu, just for this week. Common sense ndio inaniambia hivyo.
 
anakili, maana sio kufanya ngono na ulevi, kwa hilo nampongeza!

Ghetto lenyewe hili hapa

1125387-holiday-house-construction-site-in-a-cloudy-day.jpg
 
Frustration zinamuhukumu huyo. Full bench ndiyo inayosikiliza kesi ikiongozwa na Jaji Mkuu sasa kwa kutokujua kwake anajaribu kutafuta namna hukumu iwe ya huruma kwa kufanya mkutano.

Halafu jamaa wanasema anazungumza na wapiga kura wake huyo alishajipotezea sifa ya kuwa na wapiga kura kitambo labda aende December Bar na Babelon au Pin Point ama pale Philips.

Kwanza aliyewahi kuwa dereva wake anasema Lema analalamika kuwa chama kimwmtelekeza na kimekuwa kikimwezesha mara chache sana katika mikutano. Kwa hili atakuwa kawezeshwa kweli????

Mnasema atakuwepo Lema na huyo mwenzie wenye mtizamo sawa; kwa hiyo vile vichwa vya CDM havitakuwepo manake wengine tungekuja tu kuwasikiliza kwa kuwa wako timamu (JJ Mnyika, ZZ Kabwe, Mhe. FA Mbowe.......) Huyu Lema na mwenzie watakufaeni ninyi wa type zao meku......

Aendelee kuwa na subira palipoa mama Kimaro hapaharibiki neno....
 
Go lema, let the almighty lead your way. ukawakilishe arusha katika bunge linalokuja.
 
Kuna uzi humu nadhani umefutwa inasemekana Lema anajenga nyumba Mbagala kwa pesa za M4C katafuna milioni 70.

wewe mpaka as hivi umeshatafuna mara ngapi ya hizo? naona unatafuta watu wa kufunika tuhuma zako kila wakati. ndio akajenge mbagala wakati kwao ni kama ulaya uncle?
 
Frustration zinamuhukumu huyo. Full bench ndiyo inayosikiliza kesi ikiongozwa na Jaji Mkuu sasa kwa kutokujua kwake anajaribu kutafuta namna hukumu iwe ya huruma kwa kufanya mkutano.

Halafu jamaa wanasema anazungumza na wapiga kura wake huyo alishajipotezea sifa ya kuwa na wapiga kura kitambo labda aende December Bar na Babelon au Pin Point ama pale Philips.

Kwanza aliyewahi kuwa dereva wake anasema Lema analalamika kuwa chama kimwmtelekeza na kimekuwa kikimwezesha mara chache sana katika mikutano. Kwa hili atakuwa kawezeshwa kweli????

Mnasema atakuwepo Lema na huyo mwenzie wenye mtizamo sawa; kwa hiyo vile vichwa vya CDM havitakuwepo manake wengine tungekuja tu kuwasikiliza kwa kuwa wako timamu (JJ Mnyika, ZZ Kabwe, Mhe. FA Mbowe.......) Huyu Lema na mwenzie watakufaeni ninyi wa type zao meku......

Aendelee kuwa na subira palipoa mama Kimaro hapaharibiki neno....

Hebu punguza jazba kijana. Usikasirike sana haya ni mambo ya kawaida kwa kamanda Lema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nadhani Lema na CDM wangeachana na mkutano huu, just for this week. Common sense ndio inaniambia hivyo.

Nikiwa kama mwana cdm, naunga mkono kwa asilimia zote! Angesubiri matokeo ya rufaa halafu tufanye mkutano utakaohuyu yatokanayo na kesi.
 
siku moja kabla ya rufaa ya Godbless Lema, kutakuwa na mkutano mktano mkubwa kwenye uwanja wa kujidai NMC utakao ongozwa na Lema, Joshua Nasari sambamba nauongozi wa mkoa arusha. wakati huo huo jeshi la polisi limeonekana kuingia kiwewe na kuanza kutishia kuuzuia mkutano huo bila kutoa sababu...

Lema ni mwenyekiti mtarajiwa wa chadema taifa polisi lazima wapate kiwewe!
 
saaafi sana kamanda wananchi wa arusha kwa umoja wetu 2ko pamoja mpaka kieleweke.
 
Frustration zinamuhukumu huyo. Full bench ndiyo inayosikiliza kesi ikiongozwa na Jaji Mkuu sasa kwa kutokujua kwake anajaribu kutafuta namna hukumu iwe ya huruma kwa kufanya mkutano.

Halafu jamaa wanasema anazungumza na wapiga kura wake huyo alishajipotezea sifa ya kuwa na wapiga kura kitambo labda aende December Bar na Babelon au Pin Point ama pale Philips.

Kwanza aliyewahi kuwa dereva wake anasema Lema analalamika kuwa chama kimwmtelekeza na kimekuwa kikimwezesha mara chache sana katika mikutano. Kwa hili atakuwa kawezeshwa kweli????

Mnasema atakuwepo Lema na huyo mwenzie wenye mtizamo sawa; kwa hiyo vile vichwa vya CDM havitakuwepo manake wengine tungekuja tu kuwasikiliza kwa kuwa wako timamu (JJ Mnyika, ZZ Kabwe, Mhe. FA Mbowe.......) Huyu Lema na mwenzie watakufaeni ninyi wa type zao meku......

Aendelee kuwa na subira palipoa mama Kimaro hapaharibiki neno....

Chama hakija mtupa Lema kwa kuzihilisha hilo hata pale Lema alipokula pesa ya M4C alioifanya Dar chama kimekaa kimya.
Pika katika mkutano wa NMC kutakuwa na Rais na waziri mkuu wa nchi ya kaskazini according to Joshua Nassari.
Bravo makamanda wa M4c.
 
Zaha acha propaganda wewe! Hizo za ukanda zimewashinda mabwana zako, wenzako wako kwenye mauji sasa!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya kusikilizwa kwa rufaa yake na mkutano wa hadhara, mkutano wa hadhara utegemei rufaa kwasababu hawaongelei kesi, bali wanaongelea mustakabali wa chama na ujenzi wa taifa. Ina wezekana huyu jamaa haelei kinachoendelea katika mikutana na mahakamani
 
Chama hakija mtupa Lema kwa kuzihilisha hilo hata pale Lema alipokula pesa ya M4C alioifanya Dar chama kimekaa kimya.
Pika katika mkutano wa NMC kutakuwa na Rais na waziri mkuu wa nchi ya kaskazini according to Joshua Nassari.
Bravo makamanda wa M4c.

Aiii!!
 
Back
Top Bottom