Lema kuandaa maandamano makubwa jijini Arusha

Lema anaandaa maandamano kama nani, kama suala la kutetea wafungwa halihitaji maandamano ama ndio kampeni zimeanza; na kwanini iwe Arusha? kwanini asiende kama mkoa wa Pwani, Morogoro au Tanga? Kote kuna wafungwa ama wafungwa wa Arusha ni bora zaidi?

Chama
Gongo la Mboto DSM
Arusha ndio kiini cha harakati! kila mapambano huwa yana focal point ndio yanasambaa kama Benghazi vile! au Tahrir square huo ndio mfano wa Arusha, na pia Lema ni mkaazi wa Arusha! maandamano yatasambaa nchi nzima yakitokea Arusha! salvation shall come from North!!
 
Jambaz la magari linaongoza maandamano ya kushinikiza majambazi yaachiwe huru,Wana Arusha igeni watu wa kusin fanyen maandamano kupinga ukosefu wa umeme( songea),bei bora ya mazao(tandahimba),Rushwa kwa maaskari (ikwiriri)![we changu doa kabisa! Bora huyo jambazi wa magari kuliko hayo majambazi ya mabilioni ya Watanzania, yaan wewe ubonngo wako usaa kabisa!]
 
Lema kachanganyikiwa mpaka anatia huruma kukosa ubunge imekuwa pigo kubwa sana kwake kwa hiyo hayo maandamano yatavamia magereza yote Tanzania na kufungulia wafungwa wote?
 
Hizi ndio busara za watu wanaotaka kuongoza nchi yetu,Eeh mungu tuepushe dhoruba hiyo maana watu wako tutaangamia kwa kuongozwa na kina Mfalme Juha....
 
Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na aliyekuwa mb wa arusha mjini GODLESS LEMA Amesema ataandaa maandamano makubwa jijini arusha kutaka watu wote waliomo magerezani mkoani humo wanaokabiliwa na wizi wa kuku,sigara,ubakaji,ujambazi, na wahalifu wote kuachiwa huru iwapo serikali ya CCM haitawafikisha mahakamani mawaziri waliojiuzulu na wanaodaiwa kutafuna zaidi ya bilion 9 mali ya umma.

correction hawakujiuzulu bali walivuliwa wadhifa wao kwa shinikizo la cdm na wabunge wachache sana wazalendo wa ccm
 
Jambaz la magari linaongoza maandamano ya kushinikiza majambazi yaachiwe huru,Wana Arusha igeni watu wa kusin fanyen maandamano kupinga ukosefu wa umeme( songea),bei bora ya mazao(tandahimba),Rushwa kwa maaskari (ikwiriri)!

Na kweli maana!?
 
Kuanzia lema kuvuliwa ubunge, Arusha imekua shwari! hamna vurugu hata mikutano ya kimataifa inaanza kurudi Arusha, sasa lema anaona watu wameanza kumsahau anataka kuanza mambo yake ya fujo ili aaanze kurudi kwenye headlines za media! Pls grow up kua kama akina mnyika,zitto, halima mdee, kumbuka opposition sio fujo na maandamano zisiokua na tija!

Kwani kuandamana kwa amani ni fujo? Siku zote fujo zinatokea pale policcm wanapoingilia na kuvuruga amani
 
lema nanikumbusha steve bicco,jamaa ni mtu wa action sana, na ni aina ya viongozi ambao wanatakiwa katika kuongoza mapinduzi
 
WEwe siyo SONGORO ni KONGOSHO, jambazi la magari lisilokamatwa inakuwaje hata POLICCM hawalikamati
 
Kwani mnazuiwa kuwashtaki hao walioiba hayo mabilion? Kwanini mpige kelele tu bila kutake action?
Kesi ya nyani kuipeleka kwa ngedere what is next? si unataka yajirudie ya arusha, kama serekakali ni dhaifu hata mihmili yake huwa ni dhaifu tu
 
lema nanikumbusha steve bicco,jamaa ni mtu wa action sana, na ni aina ya viongozi ambao wanatakiwa katika kuongoza mapinduzi
 
Maandamano yafanyike sehemu nyingine Arusha tumechoka sasa tunataka mikutano ya kimaifa unajua tena tunavyopenda dollar.
 
Maandamano ya kudai haki ya mwananchi haihusiani na mkutano wa wewe kupata US Dollar kwa kuwa dereva au kukodi gari kumbeba mzungu anayekuja kuongea usichokijua hata hufuatilii na kujua kinachosemwa na kufikiwa ktk huo mkutano.

Hao viongozi wako wanaobeba wanyama na kwenda kutengeneza mbuga ya Serengeti, Seronera, Ngorongoro n.k huko Uarabuni halafu bado unataka upate USDollar kwa wazungu kuja kutembea kwenye mbuga za wanyama hapa kwetu TZ utaipatia wapi?

Pata ukombozi wa kifkra, ujitambue ujielewe haki zako za msingi then maisha yako na vizazi vijavyo yatakuwa na maana bwana Ngongo
 
Lema kachanganyikiwa mpaka anatia huruma kukosa ubunge imekuwa pigo kubwa sana kwake kwa hiyo hayo maandamano yatavamia magereza yote Tanzania na kufungulia wafungwa wote?

Ebu tuweke maandamano pembeni. Bwana Ritz, katika threads zako zote aitha kwa kuanzisha au kuendeleza ni bifu juu ya LEMA. HATA DINGI NAYE KANENA KWA MAFUMBO KAMA KAWAIDA YAKE NI JUU YA LEMA. VP KUNA UHUSIANO GANI KATI YAKO RITZ, DINGI, MATILDA NA LEMA, KWA KISA KILIANZA YA UCHAGUZI MKUU. MBONA MHUSIKA AMEKAA KIMYA HALAFU WEWE NA DINGI MNAENDELEZA MIGOGORO NA LEMA?
 
Arusha ndio kiini cha harakati! kila mapambano huwa yana focal point ndio yanasambaa kama Benghazi vile! au Tahrir square huo ndio mfano wa Arusha, na pia Lema ni mkaazi wa Arusha! maandamano yatasambaa nchi nzima yakitokea Arusha! salvation shall come from North!!

hebu shirikisha bongo zako zote afu ujitathmini kisha ujichagulie grup la kujiweka,mvivu wa kufkiri,lishabiki,mbumbumbu,zuzu,kauzu,bendera fuata upepo.......
 
Back
Top Bottom