Lema kuandaa maandamano makubwa jijini Arusha

Huyu huyu Godbles Lema!! Basi atakuwa ana tatizo nakumbuka ile "fungeni milango zipigwe" nadhani anafaa kwenye ile serikali ya CDM itakapochukua madaraka apewe wizara ya mambo ya ndani ili ayafanye anayoyataka leo.
Mungu akijalia hata mimi nitakua JAMBAZI kipindi hicho.
 
wajinga kama yeye ndo watakao andamana, ttz cdm mnaona siasa ni maandaman6 tu
 
Huyu naona hanazo.
Majambazi na wahalifu waachiwe???
Angeongea kingine, but hapa katokota. Hamnaga shinikizo la kihivyo.
Sasa nani hanazo hapa weye au Lema??!! Ni halali wezi wa mabillion kutokufikishwa mahakamani au wenye kesi za kusingiziwa za wizi wa kuku, mahindi etc. Wengi wa wafungwa wana kesi za kusingiziwa majambazi wenyewe tupo nao tunaishi nao kila siku. Lema ana uhalali wa kuzungumza haya labda serikali itashtuka..wako wapi akina Mramba, Yona walimpatia tu maskini Liyumba wahusika wakuu wanakula bata. Mpaka kieleweke tumechoka na mazingaombwe yenu ccm.
 
Lema masikini anatia huruma sana kachanganyikiwa masikini kuvuliwa ubunge imekuwa pigo...Lema unachotakiwa sasa hivi ni kujipanga na wafuasi wako kulipa gharama za kesi milioni 400.

Lema dunia nzima mahakama peke ndio yenye mamlaka ya kuwatoa watu gerezani.
 
Mi naona tuwapige mawe mawaziri na watendaji walioiba wakipita barabarani ndio itakuwa suluhu
 
Huyu huyu Godbles Lema!! Basi atakuwa ana tatizo nakumbuka ile "fungeni milango zipigwe" nadhani anafaa kwenye ile serikali ya CDM itakapochukua madaraka apewe wizara ya mambo ya ndani ili ayafanye anayoyataka leo.
Mungu akijalia hata mimi nitakua JAMBAZI kipindi hicho.

Sasa Lema kila siku maandamano Arusha tu peleka basi hata Bukoba au Lindi.
 
Jamani lema kumuelewa ni kazi sana maana siasa zake zipo juu sana na ni sample ya watu kama king luther, pia falsafa yake ipo juu sana kuielewa ambayo ni ya usawa na pia anaamini amani ya nasfi ni muhimu kuliko hata kitu, pia kwa hali fulani ana mitazamo kama ya mwanafalsafa Plato, in short ni watu wachache sana kwenye karne hii kama lema.

GO......LEMA.........GO............... !
 
wachangia mada wengi ni watu wa kukurupuka !! hawana muda wa kuhariri maelezo ya lema au hawana kabisa uelewa wa kutafsiri maneno ya mwanafalsafa LEMA .MWALIMU JK NYERERE aliposema I CANT LEAVE MY COUNTRY WITH A DOG ,Ni watu wachache sana walioweza kuitafsiri na kuielewa hile kauli..lema anaijua gereza,huwezi ijua njaa kama hukuwahi kukabiliana na hiyo hali !. Lema iz my rollmodel,angekua mbunge wangu ningejivunia mno.
 
Je inawezekana kuwa na njia nyingine na kujenga hoja inayoshabihiana na haja ya kuhitaji mafisadi washtakiwe bila ya kuleta njia yenye mchanganyo-- contradictory move?
 
Hapa kidogo kiongozi wangu anatoa maamuzi ya hasira. Naona mheshimiwa kapitiliza maana hilo sio shinikizo sahihi kabisa, kinachotakiwa tuandamane watuhumiwa wafunguliwe kesi na ziishe kwa wakati

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jambaz la magari linaongoza maandamano ya kushinikiza majambazi yaachiwe huru,Wana Arusha igeni watu wa kusin fanyen maandamano kupinga ukosefu wa umeme( songea),bei bora ya mazao(tandahimba),Rushwa kwa maaskari (ikwiriri)!
 
Kuanzia lema kuvuliwa ubunge, Arusha imekua shwari! hamna vurugu hata mikutano ya kimataifa inaanza kurudi Arusha, sasa lema anaona watu wameanza kumsahau anataka kuanza mambo yake ya fujo ili aaanze kurudi kwenye headlines za media! Pls grow up kua kama akina mnyika,zitto, halima mdee, kumbuka opposition sio fujo na maandamano zisiokua na tija!
 
Woga na wasiwasi ndiyo chimbuko la maendeleo duni hapa Tanzania,laiti kama isingekuwa woga wezi wa mali za umma wangeshughulikiwa bila maandamano kwani sheria zinewabana.Wanaojitolea kuandamana wanasacrifice kwa manufaa ya wengi kwa maondoleo ya dhambi ya woga na ujinga.
 
yupi jambazi,aliyeiba mabilioni ya wananchi au aliyeiba kuku?

Swali zuri Kamanda!
Na hakuna ajabu Rejao akaja na majibu ya kwmb wezi wa kuku ndio majambazi!

Maana huu utumwa wa ccm ni janga kubwa kwa Taifa letu!
 
Lema anaandaa maandamano kama nani, kama suala la kutetea wafungwa halihitaji maandamano ama ndio kampeni zimeanza; na kwanini iwe Arusha? kwanini asiende kama mkoa wa Pwani, Morogoro au Tanga? Kote kuna wafungwa ama wafungwa wa Arusha ni bora zaidi?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Jambaz la magari linaongoza maandamano ya kushinikiza majambazi yaachiwe huru,Wana Arusha igeni watu wa kusin fanyen maandamano kupinga ukosefu wa umeme( songea),bei bora ya mazao(tandahimba),Rushwa kwa maaskari (ikwiriri)![/QU una ushahd?
 
Huyu naona hanazo.
Majambazi na wahalifu waachiwe???
Angeongea kingine, but hapa katokota. Hamnaga shinikizo la kihivyo.

wewe gamba ndio empty head au kwa kilatino tunakuita tabula rasa majambazi yaliyojazana kwenye hicho chama cha majambazi huwaoni? halafu kwa ubutu na ufinyu wa kufikiria unaweza kumuita lema hamnazo kweli? post zako zote huwa ni ***** na uropokaji tu,. huna point hata moja gamba wewe
 
Back
Top Bottom