Lema kikaangoni

Lema ni jembe la kutisha, sisi ambao mara kwa mara tunakuwa arusha ndo tunamjua lema ni nan na umuhimu wake, but kwako wewe mwenye mawazo ya kibakwata na chuki binafsi juu lema tunakuona ni wakuja 2 tena ni gamba, si mlisema lema asikanyage meru? Huku mkimuogopa, mtawachafua wangap? Nyerere kashawapiga bao na mshalowa huko chini sasa tena mnarudi kwa lema, ha ha ha ha ha
shame on you.
We ni mkaali !!yani kuguswa kwa Lema tu umeruka utadhani umeguswa masaburi Duuuuh!!
 
Mkuu Memo una kibali cha kutumia hiyo picha ya Steven Wassira?:crazy:
Hahahaha!....

@ memo hiyo ndio dawa yao hawa wakosa kazi, hakuna haja ya kujihangaisha kuwajibu haya masred yao ya kijinga... Weka na zile za JK akibembea..
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo

bado hata na wewe sijakuelewa lengo lako hasa ni nini kwenye hii thread.
kama mpaka leo hauujui mchango wa LEMA kama mbunge kijana hapa tanzania katika kutetea na kusimamia haki na maslahi ya wanyonge basi pole sana.
lema ni miongoni mwa wabunge wachache ninaoweza kusema wamechelewa sana kuingia bungeni.
alipaswa awe mle ndani tangu mwaka 2000 ila ndo hivyo tu.
live long lema. kaza buti na komaa usiyumbishwe na maneno maneno yaliyotawaliwa na hisia.
 
20090619-chimpanzee.jpg
Wana-JF huyu ni mdogo wake na mh. wasi a wana fanana kama mayai
 
Si lazima kuweka thread humu, kama huna la maana ni vema ukasoma tu michango ya wengine ukaendelea kujifunza.
Binafsi Lema simfahamu lakini kupitia maandishi yake machahche na misemo na namna anavyoishi, naona Arusha wana jembe la uhakika. kwangu mimi hata ikija kutokea akakosa huo ubunge lakini Godbless Lema ameshaweka historia nzuri kati ya wapambanaji
 
Posts kama hizi ndo zinazidi kuchochea ile imani yangu kwamba JF iwe ya kulipwa.. Ukiwa member ni lazima ulipe ada.. Posts & comments zisizokuwa na kichwa wala miguu naamini zitapungua sana..
 
Hivi wabunge waliofariki, halafu hawajamaliza kulipa ule mkopo wa 200m pamoja na gari 90m(Total 290m), inakuwaje? sheria inasemaje kuhusu hilo?

bima itawalipia madeni yote.
wabunge hukatiwa ama hukatishwa ama hukata bima ya maisha kwa ajili ya matukio kama hayo.
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo

Umbea hauna posho.
 
Wana-JF huyu ni mdogo wake na mh. wasi a wana fanana kama mayai
Crashwise,
Simpendi Wasira kwa hoja zake za uzandiki kama ile aliyompandikizia Dr Slaa kuiba na kufukuzwa upadre. Lakini siwezi kuihusisha chuki hiyo na sura yake. I have seen him some years back when he was struggling to register his Political party, hakuwa hivi alivyo. Bila shaka anasumbuliwa na ugonjwa fulani, na kwa muungwana, huwezi kumcheka mtu mwenye maradhi kwa kuwa tu wewe una afya njema. You never know, pengine hata haya anayoyafanya inaweza kuwa matokeo ya madhara ya ugonjwa unaomsumbua. The best we can do is pray for him.
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
Nonsense
 
Lema ni jembe la kutisha, sisi ambao mara kwa mara tunakuwa arusha ndo tunamjua lema ni nan na umuhimu wake, but kwako wewe mwenye mawazo ya kibakwata na chuki binafsi juu lema tunakuona ni wakuja 2 tena ni gamba, si mlisema lema asikanyage meru? Huku mkimuogopa, mtawachafua wangap? Nyerere kashawapiga bao na mshalowa huko chini sasa tena mnarudi kwa lema, ha ha ha ha ha
shame on you.

Kweli kabisa Lema ni Jembe la kutisha kwa maana ya ujambazi wake...na sasa hv sasa ndio atajua kama Tanzania kuna sheria ama La...Mwenyewe kajileta kwenye SIASA kakanyaga pabaja...
 
mbona ni ukweli pm alikuwa si mkweli juu ya mauaji arusha, watamsumbua tu ila Mungu atamsaidia kushinda
 
Crashwise,
Simpendi Wasira kwa hoja zake za uzandiki kama ile aliyompandikizia Dr Slaa kuiba na kufukuzwa upadre. Lakini siwezi kuihusisha chuki hiyo na sura yake. I have seen him some years back when he was struggling to register his Political party, hakuwa hivi alivyo. Bila shaka anasumbuliwa na ugonjwa fulani, na kwa muungwana, huwezi kumcheka mtu mwenye maradhi kwa kuwa tu wewe una afya njema. You never know, pengine hata haya anayoyafanya inaweza kuwa matokeo ya madhara ya ugonjwa unaomsumbua. The best we can do is pray for him.
Mgonjwa???.. Sitaki kuamini, Wasira anajitia hamnazo kwasababu ya tamaa ya pesa na madaraka, wacha apate anachostahili...

Mkapa nae mgonjwa? Manake wote wanaropoka visivyo na maana...kwa umri wao wale wazee sikutegemea wakose busara kwa kiwango kikubwa hivyo... Wameingia kwenye ngoma wacha waicheze mpaka mwisho...
 
Back
Top Bottom