Lema kikaangoni

fisadimpya

Senior Member
Oct 27, 2011
191
103
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
 
Lema ni jembe la kutisha, sisi ambao mara kwa mara tunakuwa arusha ndo tunamjua lema ni nan na umuhimu wake, but kwako wewe mwenye mawazo ya kibakwata na chuki binafsi juu lema tunakuona ni wakuja 2 tena ni gamba, si mlisema lema asikanyage meru? Huku mkimuogopa, mtawachafua wangap? Nyerere kashawapiga bao na mshalowa huko chini sasa tena mnarudi kwa lema, ha ha ha ha ha
shame on you.
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo

Katafute kazi za kufanya. Hapa inaonyesha huna cha kufanya
 
Hujaeleweka vizuri
  • hiyo kesi atamjibu nani ? lini ? wapi?
  • kesi yenyewe ikoje?
  • etc
  • fafanua vizuri mkuu acha kuongea kwa mjalizo
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
Ulilenga kusema nini mama mdogo...
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
20090619-chimpanzee.jpg
 
Fafanua hujaelewake "Mama Mdogo" unamaanisha yule changudoa aliyemuibia Adam Malima Morogoro? Huyo "Mama mdogo" ana uhusiano gani na Lema? au Lema ndiye aliyemtuma?
 
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo

mimi nafikiri mahakama iamue uchaguzi urudiwe.
 
Hivi wabunge waliofariki, halafu hawajamaliza kulipa ule mkopo wa 200m pamoja na gari 90m(Total 290m), inakuwaje? sheria inasemaje kuhusu hilo?
 
Ndio maana Lusinde anasema waonewe huruma watoto zao!Wakipata waendelee kulipa deni sikuwatumikia wananchi!Haulewi nini hapo?
 
Huu ndo upumbavu tunaojaziwa kila siku kwenye jf, sijui ni lini huu use**** utakwisha
hv haya mamodarator hawaoni haja ya kuwabun hii mijingajinga! huu upuuzi mtu anaotoa sijui katoka chooni!
pumbavu zako! ongea kama uliyekomaa NDO MAANA NAICHUKIA MAGAMBA INAMIJITU YA HOVYO KWELI HAINA HATA AKILI YA KUAZIMA!
 
Back
Top Bottom