Lema: Kesho kufungua tawi la CBE pamoja na DIT pamoja na mikutano mikubwa 40 Dar.

Ikumbukwe hata Pinda haja mjibu licha ya kusaidiwa na Anna kinda....
Aliyeombwa mwongozo ni Spika, huyo mama ndiye tunasubiri mwongozo wake mtu mzito kama waziri mnene anapolidanganya bunge. Vicent Nyerere au mbunge yeyote wa CDM atukumbushie hilo kwa Makinda kwani naona wameamua kulipotezea kwa kuwa Lema haayuko mjengoni.
 
Inaonekana ktk CCM amesalia Nape tu, naye anafanya hivyo ili kulipia usaliti aliowafanyia kuiunda CCJ. Wengine wote wako bize wanafikiri kuhusu hatima zao 2015.
 
Lema nimemuona jion hii eneo la stand kuu akiwa anaendesha torokobe arusha. Ataweza kweli kufika kesho na kufungua matawi? Au atapanda ndege?
 
Lema anatumia mkia wa taa kuwacharaza magamba, LEMA TUKO PAMOJA MKUU.
 
CHADEMA ndio nuru iwamulikayo watanzania wote. God bless it...[ wote tuseme Amina].
 
Nape huu mwaka ni wako kaka wamekuziria chama,chadema wanaokoa watu toka kwa shetani (ccm) wewe unataka uwarudishe utaweza kweli?
 
WANAJF: siku ya kesho tutakuwa na ufunguzi wa tawi la CBE pamoja na DIT.

Ufunguzi wa tawi hilo litafanyika kwenye ukumbi wa DONBOSCO UPANGA. Vile vile tutafungua matawi katika majimbo ya Dar kesho, siku ya jmapili tutakuwa na mkutano mkubwa Segerea kabla ya hapo kutakuwa na ufunguzi wa matawi 12 kuanzia asubuhi saa nne.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.

Watajuta kumnyanganya ubunge wakati alikuwa nawakosoa yaliyokuwa ya kweli. Hawajui globalization inafanya kazi. Vijana ninawapa kumi msimamo huohuo tusiogope kuikomboa nchi yetu.

Kama Warioba amekaa miaka zaidi ya 30 na uwariri mkuu je ataweza kutuletea katiba ya kuturidhisha sisi vijana wa leo.
 
Back
Top Bottom