Lema katutapeli shamba aliloomba kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi

Lema lema!hivi hamkujua!hivi kiukweli kaifanyia nini arusha zaidi ya kuuza maneno!mjini hapa!yaani sisi tutaendelea kupiga marck time lakini hakuna mtu mwenye dhamira ya kweli ya kutuendeleza!

Napendekeza tumchangue mama yako au baba yako agombee ubunge hao watakuwa na dhamira za dhati kutuendeleza... maana lema kawa mbunge kwa muda usiao zidi miezi 16 huku akifunguliwa kesi chungu mzima na bado tuna mhukumu..
 
Taarifa hizi ni za ukweli kila mwana arusha anajua lema alivyopata ubunge tu alisema ameomba kiwanja burka kwa ajili ya kujenga hosptal ya wazazi na tukafanya kikao wanachama wa cdm tuwe tunakatwa kiasi kwenye mitandao ya simu kwa ajili ya kujenga hiyo hosp nanyaro mwenyewe anajua mwenyekiti wa mkoa anajua pia naanda ushaidi ntautoa wote.mi cdm na sihami mi ni mwanachama tangu 1992 tarehe 10 mwezi 8 mara tu baada ya kuanza vyama vingi.nawahikikishia godbes lema ni bomu.michango mingapi anakula wacha ya M4C.
Mama punguza mkukali, tuwekee hati uliyotuahidi, kwa hiyo wewe huwa unakatwa kila mwezi na ni kiasi gani? na kikao cha wanachadema Arusha kilifanyikia wapi? je ukikatwa kunakumbukumbu huwa inabaki kuwa umechangia ujenzi wa Hospital hiyo?, je mpaka sasa umechangia shilingi ngapi?, uliambiwa utachangia mpaka lini? na uliambiwa hosp itaanza kujengwa lini, Lema anakula pia ichango ya M4C!? kwani lema ndiyo huzitunza fedha hizo.....Chadema hatuna wanachama type yako....
 
Acha kutoa mapovu mdomoni thibitisha kauli, hatutaki wapuuzi wa kurudisha nyuma dhamira ya mabadiliko ya watanzania kwa kusema maneno ya uzushi!
 
Sasa Mods katika hali kama hii huwa ni hatua gani inafuata kwa mleta uzushi humu jamvini?

The way CCM wanavyohangaika na Lema inaonesha kwa upana ni namna gani huyu Kamanda ni tishio kwao. Hopeful Court of Appeal watamrudishia ubunge ili wana Arusha wapate uwakilishi wanaostahili na wakti huo huo aendelee kuwa fumua mafisadi.
 
Watu wakileta hoja ijadiliwe kwa kina badala ya kuleta ushabiki wa kisiasa coz si kila aliye chadema ama upinzani ni msafi! Lema ni kimeo arusha na ameshatapeli sana watu
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

Halafu ndio tuwape nchi hawa, si itakuwa balaa.
 
Jamani hii huu ufisadi utaisha lini Lema ebu jaribu kuwa na roho ya huruma rudisha shamba la wana Arusha

Duh, kwa mara ya kwanza hii ndio habari iliyokusononesha kuhusu ufisadi? Hivi zile movi za kutengeneza zimeshaanza eh? Huwa tunajua kuwa shetani huwa hachoki, anapumzika tu huku akitafuta mbinu nyingine, ila sasa pia shetani huwa hashindi. Kwa hiyo jueni tu kuwa mtamaliza mbinu zote na kushinda hamtashinda
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa
nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.


Hujakamilisha ushakimbilia kupost

BRN AT WORK.
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

Laiti ungejua masharti ya hicho kiwanja hunge leta huu ugoro hapa. Kama hamna stori kaeni kimya sio kutujazia sever!! Kwa maccm kuweka hati hapa sio issue maana mmezidi kwa kuforge. Ila sisi tunajua hti iko wapi na ina masharti gani. Hiuvi nikuulize, mmetawala sasa ni miaka 53 wagonjwa wana lala mzungu wa nne. Juzi Mr Piga tuu kasema zaidi ya madawati milioni moja yanatakiwa mashuleni, lakini mbao mnauza nje, mna akili kweli nyie viongozi wa Ccm au tuseme mmelogwa au mna mapepo?? Hebu jitafakarini sio saa zote kutunga story mlipwe na Lumumba. Mwacheni Lema ana mengi katufanyia kwa hii miaka miwili aliyo kaa nasi.
 
Mleta mada ni mzushi. na kama sio mzushi aseme yeye ni nani kwenye chama kama alivyojitambulisha magoma. aache ulimbukeni kwani sisi ndio wananchi wa arusha.
 
Back
Top Bottom