Lema katutapeli shamba aliloomba kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi

Don't worry about me........

Worry about your leader....Shehe Ponda.....yupo peku Segerea.

Sheikh Ponda kuwa peku Segerea sio issue hiyo ndio sifa ya mwanaume, wewe si unagopa jela. Halafu unasema unataka ukombozi.
 
Ritz Ritz ,huwa nachoka na comments zako aisee..Nitafuta namna ya kukuona live ili nije nikuweka hapa jamii ili uwe verified user unachosha
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

Hivi wewe unajua process za kubadilisha hati milika za shamba?! Hivi unafikiri ni rahisi kihivyo kama mnavyouziana VITUNGUU hapo Usa river?

Hii habari kapeleka kwenye vijiwe vya kahawa at least huko they can buy it sio JF a home of GTs
 
Nimeongea na Crashwise ambaye ni mdau wa ndani wa siasa za Arusha anasema kuwa shamba lipo salama kabisa eneo la Burka, na wahusika wako kwenye hatua za mwisho za kufuatilia vibali vya umiliki ili waanze ujenzi..
Lama hahusiki tena na hilo shamba...huu ni uswahili@ccm.jazz band
 
Last edited by a moderator:
shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.
another open ended mind knows only to use computer ,fitna tu zimekujaa na njaa
 
Hivi wewe unajua process za kubadilisha hati milika za shamba?! Hivi unafikiri ni rahisi kihivyo kama mnavyouziana VITUNGUU hapo Usa river?

Hii habari kapeleka kwenye vijiwe vya kahawa at least huko they can buy it sio JF a home of GTs

Mkuu kubadilisha matumizi ya ardhi ni kitu raisi sana.
 
Shamba aliloomba lema kwa ajili ya kujenga hospital ya wazazi amejimilikisha kwa jina lake mbali na trector alilosema atawakabidhi wakulima wa terati.hati ya kiwanja hicho ntaiweka hapa nafuatilia hapa muda sio niko halmashauri ya arumeru nafuatilia.

weka hati ya kiwanja acha kukurupuka kama unakimbizwa.
Angalizo:
utuwekee hati ya shamba aliloomba mwanzoni, mipaka yake na eneo lilipo, then utuwekee hati ya shamba analomiliki sasa na mipaka yake
 
Sheikh Ponda kuwa peku Segerea sio issue hiyo ndio sifa ya mwanaume, wewe si unagopa jela. Halafu unasema unataka ukombozi.
Kwahiyo wewe uliyevaa viatu sasa hivi na upo changanyikeni Sio mwanaume? au huna uwanaume.
na hutaki kwenda kupigania kumtoa huyo MWANAUME wenu.

Man up..........get your sorry ei double esi to the streets...kampiganie MWANAUME wenu.
 
kwa habari hizi ni uongo mtupu, tuwekee hiyo hati, kuweka mambo sawa kiwanja cha hospital iliyoahidiwa na lema kipo burka kilomita tatu kutoka barabara kuu na kwasasa michoro ya hosp inaendelea, trekta lilikabiziwa kwa wamama wasiojiweza lakini itakuwa chini arusha dev fund..
 
Dea is no big success without a crime. Asa kama kalikwiba shamba alirudishe tuu asione soo. Na tizama mambububu yabaofwata upepo yanavotoka mapovu kweli kupenda ni maradhi. Chongo utasema kengeza
 
Kwahiyo wewe uliyevaa viatu sasa hivi na upo changanyikeni Sio mwanaume? au huna uwanaume.
na hutaki kwenda kupigania kumtoa huyo MWANAUME wenu.

Man up..........get your sorry ei double esi to the streets...kampiganie MWANAUME wenu.

Wewe si unaogopa polisi endelea kukanda chapati nyumbani.
 
Mleta mada ni mtandao wa Nico na Kiyeuyeu waliofadhiliwa na Rc mulongo wakaja na singo ya kumchafua lema kuwa ametafuna ela ya chama singo haijabamba sasa wanataka kumchafua kupitia uwanja ule.Naskia vijana hawa wawili walilitaka trekta kama asante ya kampeni kwa lema ili wakalime,lema akawajibu kuwa kama ni fadhila kila kijana wa arusha mjini anastahili.LEMA alivyobamba mioyoni mwa wana arusha kwa single yoyote hawa raia hawakusikilizi.
 
Huyo ni msanii kama wasani wenzie wa CHADEMA.
By the way wajinga ndio waliwao.
Kama ufisadi ni usanii tukianza kumwaga hapa usanii wa viongozi ni yupi leo ccm atakayesalimika? Simtetei Lema lakini wewe umejumuisha wengi, yeye anapaswa kujitetea mwenyewe kama kweli kajimilikisha hilo shamba/kiwanja.
 
Back
Top Bottom