Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Nasikia baada ya kusikia pilau litakuwepo kwenye zoezi la sensa mmeanza kulegeza Uzi
Mie nilisikia biriani ya ndizi ndiyo itakuwepo. Kaskazini hawataki kushindwa nasikia siku hizi kuna biriani ya ndizi.
Kiswahili sahihi ni Kuregeza sio "kulegeza".
Hapa panahitajika mjuvi wa Kiswahili, japo mie naamini kiswahili sahihi hapo ni "KULEGEZA"