Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki


TUNASHUKURU SANA KWA NEWS HII KAMANDA WETU!
Uwe na wakati mzuri na ukimpa hai MB!
 
Hebu tupe updates ya afya ya kamanda lema leo hii

afya ya kamanda inazidi kuimarika kwasasa na anaendelea vizuri. nimeongea naye kwa simu yeye mwenyewe akaniambia yupo powa. kawashukuru wote waliyomtia moyo na kumuombea apone haraka na kuruhusiwa usiku wa manane.
 
saa nane usiku mtu anaruhisiwa kutoka hosp?.anyway poa lakini
 
attachment.php


Mbona anashughulika na simu?? haikuwa serious sana?
 
Naamini mpaka sasa kamanda Lema anaendelea vizuri, Pamoja sana wakuu ambao tumemuombea na kumtakia afya njema, vile vile kuna wale wenye roho za kishetani tuwasemehe tu kwa kuwa Mungu anawapenda na sisi haina budi kuwapenda
 
Wakuu nimeongea na kamanda Lema kwa njia ya simu muda huu saa nne kamili anasema anawashukuru sana kwa maombi yenu yakumwombea apone haraka na ndivyo ilivyo Mungu kamjalia akapata nafuu yupo nyumbani anapumzika ilitakiwa leo afanye mikutano katika kata zote zilizo wazi hasa zile za madiwani waliofukuzwa ila kwa leo inabidi apumzike ila kesho Mungu akimjalia nguvu zaidi atafanya hiyo mikutano napia ameniambia niwambie ANAWAPENDA SANA kwa kumjali kwakuwa hamkulala mkitaka kujua hali yake anasema ni jambo la kumshukuru Mungu kwa upendo wenu kwake
 
Kwa hiyo unachosema ni kuwa Mungu hatamponya bila ya dawa, maombi pekee hayafanyi kazi
Hiyo itakuwa haina tofauti na wale wasabato walienda kujikusanya uwanja wa ndege na mabegi yao huku wakiomba wakitegemea wajikute wako nje ya nchi.... Ili Mungu akubariki kwenye jambo lolote, lazima na wewe uwajibike kwa percent fulani then inayobaki unamwachia Mungu. Mtu akiumwa ni lazima apate dawa lakini kupona au kutokupona hiyo siyo kazi yake... Wajibu ni kunywa dawa afu unatulia na kusubiri Neema ya Mungu ifanye kazi yake...
 
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana. Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetuView attachment 44798IMG_1054.JPG

ugua pole kaka godbless
 
Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki
Asante sana. Tunazidi kumwombea afya iwe njema zaidi.
 
Huenda ni malaria tu. Atapona na kurudi kazini. Pole kamanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom