Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

Hiyo ni malaria na huyo mla mirungi, ilikuwa imejificha. Tunamuombea apone haraka.

FF acha utoto wewe, mbona JK alipodondoka pale Jangwani watu wa dini tofauti tofauti walikesha kumuombea sana kwani hawakujua kuwa alikuwa na uchovu wa kutokupumzika kupiga mambo yetu yale?
 
Ritz kweli wewe na Rejao nimewaheshimu kutokana na kutambua kuumwa ni kwa kila mtu haijalishi itikadi. Hii ni dalili kukomaa kisiasa.
Pole sana Lema, maradhi ni sehemu ya mwanadamu, Mungu atakukujalia utapona..
 
Jioni hii baada ya mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika nmc arusha kuwakumbuka walioawa na polisi JAnuary 5 mwaka Jana.
Baada ya hapo tulipita katika hotel ya kibo kupumzika baada ya Lena kulalamika ya kuwa anahisikia vibaya na temperature ikaanza kupanda. Tumempeleka mt. Meri hospital wakatuambie tumpeleke selian kwa urgent service maana mahabara ilikuwa imefingwa. Tupo selian hospital ametundikiwa RL drip na sindano mbili.
Temp ipo 40, anakunywa drip ya pili saa hii. Tumuombee uzima mbunge wetu

IMG_1054.JPG

Vipi Mh. Lema anaendeleaje? Tunamuombea apone haraka.
 
Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki
 
Mungu amjalie kupona haraka na apate nguvu za kuendelea kuwatumikia watu wake na taifa letu kwa ujumla. pole sana ndugue yetu kuugua ni jambo la kawaida sana kwa mwanadamu
 
Updates
Baada ya vipimo jana usiku,Lema aliruhusiwa majira ya saa nane usiku,na kurejea nyumbani,kwa sasa anaendelea vizuri.Tunawashukuru wote waliomtakia apone haraka,Mungu awabariki



Asante Kamanda Nanyaro kwa updates. Mpe pole mweshimiwa
 
viongozi wanalazimika kubeba hadi mic zao wakati wa public meetings! no one is to be trusted
 
pole sana tuwe makini na wanao mtibu inawezekana wakaongeza dozi ya kumuondoa kabisa mpiganaji wetu . hawa watu hawfai kabisa wameshindwa kwa mwakyembe sas wameamia huku kwetu . "peoples power"
 
baba yetu uliye mbinguni tunakuomba kupitia mwanao yesu kristo umsaidie mja wako,tuko mbele yako baba muwezeshe aweze kupona baba,najua unaenda kutenda sasa kadri ya mpanzi yako.amina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom