Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

Mkuu lazima ukubaliane na mimi kwa hili!

Nina wasiwasi kuna kamchezo kanachezwa na nyie mnaakia kushabikia, haiwezekani hatujasikia hata siku moja kuna sera

Hawa watu wanatekeleza kwa vyama vyao, kila siku ni post za kujisifia. Na kwa kuwa wana fake ID nina mashaka sana..


Pia Rejao yupo right ndugu yangu, mtu aliye na uongozi kama mbunge kwa nini ufiche ID yako?? ni uoga tu na uwezo mdogo wa

kujibu hoja!

Kuwa na ID fake au halisi haisaidii,cha msingi ni hoja,hiyo ni uamuzi wa mtu,mbona Nape aliwahi kukana ID yake humu jamvini.
 
Tume ya Katiba unamahanisha Cruishwiser ni Lema?mbona watu wanasema wewe ni Nape ila unatumie invisible ID!

Mkuu wangu nitake radhi umenikosema sana!

mimi ni mjumbe wa tume ya katiba toka znz na kudhihirisha ID yangu ni hatari kwa zoezi zima la mchakato wa maoni ya

katiba mpya!
 
Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT

Kama kweli IQ yako na elimu yako ni kubwa kuliko Lema, basi tunahitaji watu zaidi wenye IQ na elimu ndogo kama Lema. Hiyo yako haina manufaa kwetu wala Taifa. Hatupimi elimu yako bali ulichotufanyia. Bansen Burner ana elimu kubwa kuliko Lema siyo?
 
Lema ni "Son Of Tanzania". Ni mpigania ukombozi halisi Tanzania.

Jirani watu wanaobisha u-genius wa Lema ktk politics wana UPOMWI(UPUNGUFU WA POINTI MWILINI), haiwezekani mtu anavuna wanachama mamia kwa maelfu, leo anaonekana kilaza. Kilaza Nape anayetumiwa kama condom kutangaza mafisadi na wasifanywe kitu
 
walifikiri kumtoa Lema bungeni ndiyo kumaliza kisiasa kumbu ndiyo wanamjenga kisiasa, sasaivi anafanya kazi ya kuongeza makamanda, na bado mwaka huu wataona kila rangi.
 
Mkuu wangu nitake radhi umenikosema sana!

mimi ni mjumbe wa tume ya katiba toka znz na kudhihirisha ID yangu ni hatari kwa zoezi zima la mchakato wa maoni ya

katiba mpya!

Tumekwisha kama moja ya wajumbe ni poyoyo kama wewe basi tusitegemee cha maana..
 
Hapa we ndo unaonyesha IQ yako ilivyo chini....ungekuwa juu usingesema haya maneno yako...mwenye IQ kubwa lazma ajitofautushe na mwenye ndogo ila kwa hili lako your IQ is very LOW
Kama ana uwezo, mkaribisheni humu ndani tuone na tupime uwezo wake. Mbona wenzake wanaojiamini wapo humu ndani?
 
Iko siku Arusha patabaki majengo ya CCM tu! Hapa hatuna utani na ukombozi wa kweli... I wish mikoa yote ingekuwa kama Arusha ila nadhani tatizo ni uoga usio na sababu.
"WE REFUSE TO BE WHAT THEY WANTED US TO BE, WE ARE WHAT WE ARE AND THAT'S THE IS GOING TO BE.,... If they don't know...they can't educate us for unequally opportunity!" My massage to my fellow Tanganyikans is one That time is NOW. Wake up you guys like Rejao and co.
 
Maswali kama haya huwa wanaya kwepa na kuleta porojo wewe waache wandelee na porojo sisi tunabomoa kila kukicha..
Mnafikiri mnabomoa kumbe mnatuimarisha! Hii nguvu yenu ya soda itaisha tu baada ya siku si nyingi.
 
wabunge wote wa chadema wasiojisajiri jf kwa majina yao nina mashaka nao!

why?


mkuu william aka baharia, alipokutana na nasary bungeni alimuhakikishia kuwa yeye ni active member jf, lakini cha ajabu

hakuna id ya nasary tunaoijua.

Tabia hii imepelekea kuanzishwa post za kujisifia hasa za lema na nassary, mimi natilia shaka huenda ni..........

Anyway just guessing .................
out of topic.
 
Nabado mwaka huu wataona kila rangi.walifikiri kumtoa lema bungeni ndiyo kummaliza kisiasa kumbe ana fanya kazi ya kujenga chama na kijijenga kisiasa.Arusha yote itakuwa ni chadema.
 
Back
Top Bottom