Lema aushukia Mwenge

Tena iyo elfu tano mzazi akishindwa kulipa mtoto anatolewa darasani mpaka pesa ipatikane.
Tunajenga tuna bomoa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hakika hatujengi hapo......Binafsi bado naamini mwenge unastahili kuwekwa kwny juma la makumbusho baaaaas!
 
Huku Lindi watu wana mwamko mkubwa sana na mwenge wa uhuru. Jana tuliipokea vyema hapa stand. Leo ndio tunausindikiza. Huu mwenge unajenga sana umoja wetu kitaifa.

ama kweli Movement For Changes itawapoteza baada ya mktano wa M4C pale dar ukakimbilia kusini mbaya zaidi wamekufata huko huko.....
 
Mwenge ni uboya kwenye nchi ya tatu kwa umasikini la kini ina rasilimali lukuki,so wanao mkashifule lema ni magamba ya konokono tusiya mwagie chumvi,wache wakae na ulimbukeni wao.
 
Lema tangia avuliwe ubunge akili yake haiko sawa, mara waraka wa ikulu na ikulu walivyo makini wala hawakumjibu chochote kwani walimjua ni hamnazo. Leo amekuja na mwenge. Mwenge kwa mwaka huu unategemea kufungua miradi ya nchi nzima yenye thamani ya Tshs 93 bilioni. Sasa ww Lema ukitumia Tshs 1 bn , kuleta miradi ya Tshs 93 bn shida iko wapi ?

Wewe ndo huna akili yako haiko sawa, kwani bila mwenge hiyo miradi haiwezi kufunguliwa? vipau mbele vyetu ni vipi?
 
Lema ana hasira za kubwagwa ubunge kwa lugha yake chafu. Ajifunze na asiendelee na lugha zake za utata yakaja mkuta mengine.
Hivi wewe unajua lugha chafu??? ebu nenda kwa lusinde kamuulize nini maana ya lugha chafu inawezekana hujui
 
Huku Lindi watu wana mwamko mkubwa sana na mwenge wa uhuru. Jana tuliipokea vyema hapa stand. Leo ndio tunausindikiza. Huu mwenge unajenga sana umoja wetu kitaifa.

fisadi hupumziki? Utumwa huu mpk lini kijana? Soma alama ya nyakati.
 
umoja wako na magamba
 
Lema tangia avuliwe ubunge akili yake haiko sawa, mara waraka wa ikulu na ikulu walivyo makini wala hawakumjibu chochote kwani walimjua ni hamnazo. Leo amekuja na mwenge. Mwenge kwa mwaka huu unategemea kufungua miradi ya nchi nzima yenye thamani ya Tshs 93 bilioni. Sasa ww Lema ukitumia Tshs 1 bn , kuleta miradi ya Tshs 93 bn shida iko wapi ?

kati ya lema na ww nani ambaye hana akili? Bila shaka ww akili yako ni sawa na yule Rweyemamu wa kurugenzi ya habari ikulu.
 
Lema ana hasira za kubwagwa ubunge kwa lugha yake chafu. Ajifunze na asiendelee na lugha zake za utata yakaja mkuta mengine.

we una hassira na M4C
lema amewachana kama kawaida yake. Kiboko ya jk.
 
Huku Lindi watu wana mwamko mkubwa sana na mwenge wa uhuru. Jana tuliipokea vyema hapa stand. Leo ndio tunausindikiza. Huu mwenge unajenga sana umoja wetu kitaifa.

mwamko wa nini:angry:?labda wa ngono, huo mwenge ni uhuni tu, kwanza wengi wanaoukimbiza wanaishia kwenye ngono tu wanapokutana jioni kutoka kuusindikiza. Huu mwenge unabomoa tu, kwa kweli nauchukia sana mwenge
 
ama kweli Movement For Changes itawapoteza baada ya mktano wa M4C pale dar ukakimbilia kusini mbaya zaidi wamekufata huko huko.....
Nimekuja kushuhudia hicho mnachosema kuwa CDM imefanikiwa Lindi na Mtwara. Kwa utafiti niliofanya nimegundua kuwa ulikuwa ni upotoshaji mkubwa kuwa CDM imekubalika huku kusini. Ukweli ni kwamba hamna mtu anayetaka kuisikia CDM, wala upinzani tena. Kama hapa mjini kila siku watu wanalia kuhusu huyu mbunge wa CUF Salum Barwani. Wanajuuuta!! Kauli mbiu ya hapa ambayo ni Lindi kwanza then mengine baadaye ameshindwa kuitekeleza. CCM pekee ndio wanaweza kutekeleza hayo.
 
Huu mwenge unajenga sana umoja wa matumbo yetu kitaifa.

unapokeshea ngono hufanyika kuliko kawaida hivyo unaeneza ukimwi. Mwaka 2006 kijiji cha Kisorya Bunda uliacha kondomu zilizotumika nyingi mpaka shuleni watoto wakaokota siku nzima! So pathetic

fisadi hupumziki? Utumwa huu mpk lini kijana? Soma alama ya nyakati.

umoja wako na magamba

mwamko wa nini:angry:?labda wa ngono, huo mwenge ni uhuni tu, kwanza wengi wanaoukimbiza wanaishia kwenye ngono tu wanapokutana jioni kutoka kuusindikiza. Huu mwenge unabomoa tu, kwa kweli nauchukia sana mwenge
Naona kwa hizi comment zenu hapa mnajionyesha mlivyo na mawazo hasi. Mtu mwenye akili hawezi kuandika hivi.
 
Back
Top Bottom