Lema Aunguruma Manzese,Dar

Tunaomba ratiba za mikutano ya M4C maana tunataka kuhudhuria kuwasikiliza wakati wa ziara hii muhimu ya viongozi. Mwenye kuwa nayo tafadhali sana.

Hii itawasaidia na CCM kuanza kufuta nyayo za CHADEMA au kujipanga kwa kujua Lema anakuja kama walivyofanya tabata kuwahamisha waathirika wa mafuriko..
 
Hii itawasaidia na CCM kuanza kufuta nyayo za CHADEMA au kujipanga kwa kujua Lema anakuja kama walivyofanya tabata kuwahamisha waathirika wa mafuriko..

Wakifuata nyuma iko siku watawapopolewaza, usiwe na wasi, Crashwise weka ratiba.
 
Ebu waangalie vizuri hao watu wameweka mikono nyuma wanashangaa!

Hawashangai, wanasikiliza kwa makini. Ulidhani huu ni ule mkutano wa misukule inayoulizwa 'sawa sawa?' na yenyewe inaitikia 'ndioooo'.

Hivi watu kweli wakaache shughuli zao waende kushangaa tu? Kuweni na haya jamani hata kama Nape anawalipa mbona mambo mengine hayakanushiki wajamini
 
attachment.php

Ritz lazima atakuwa amejivua gamba...

Licha ya tu hawakuletwa na malori, bali hawa si watoto wa shule ya msingi wanaojaa kufata burudani. Ni wazee na vijana makini kama unavyowaona wakimsikiliza KAMANDA
 
Hawashangai, wanasikiliza kwa makini. Ulidhani huu ni ule mkutano wa misukule inayoulizwa 'sawa sawa?' na yenyewe inaitikia 'ndioooo'.

Hivi watu kweli wakaache shughuli zao waende kushangaa tu? Kuweni na haya jamani hata kama Nape anawalipa mbona mambo mengine hayakanushiki wajamini

Wewe apo ni Manzese Bhakresa ata kama kuna ugomvi wa Kuku watu wanajaa lini palikosa watu apo?
 
Kweli lema nimekukubali yaaan we ni jembe linalo lima pande zote.

Yaan pressure waliyonayo ritz,zomba na katiba mpya tukiwapa kahawa lazima tuimbe ule wimbo tumpeleke,tumpeleke.
 
Na bado ana mwezi wa kuwepo hapo dar sijui nape ana ratiba.
Nape anapfanya mikutano stand na sokoni kama chizi....
si unajua machizi huwa wanapatikana zaidi sokoni na stand za mabasi???!!!,............halafu wanakwenda kula jalalani.

Nape hawezi kufanya mkutano bila matangazo ya wiki nzima kabla na kukodisha malori......labda akafanye sokoni kama alivyozoea.

:llama::llama:
 
Kwa idadi kubwa hii means watanzania wamesha choka sana sana .Chadema kazeni buti mwacheni Mchemba na zogo lake
 
CCM wameshagundua janja yenu, ni kwamba hapo Manzese pamejaa watu wa kaskazini tu he-he-he
 
Kamanda Lema big up sana mpaka wakome wenyewe ccm akili zao ziko kwenye matusi tu hunakuwa na mubunge kama komba na wassira si ujinga tu.
 
Huyo ndiyo Lema....ukisikia mwingine ujue fake.
Tulianza na mungu na tutamaliza na mungu!
Alipo vuliwa ubunge na ikulu alisema atafunga na kusali na kisha atazunguka nchi nzima,na mungu ataonyesha maajabu yake,...ndugu zangu bado mh lema hajamaliza kazi............
 
Back
Top Bottom