Lema Aunguruma Manzese,Dar

Yaani hawana uwezo tu wa kumzuia kufanya siasa maana kitu alichowafanya hapa Arusha na mwanza..watakuwa wanajutia Ikulu kumvua ubunge...

na pia amesababisha chadema kushinda uchaguzi wa serikali ya kijiji nyumbani kwa ba mwanaasha.
 
Msiogope makamanda!!! Sie makamanda wa kesho tupo nyuma yenu!!!
282223_336227283119272_90601204_n.jpg

Hakuna kulala! Mpaka kieleweke!!!
 
kwanini asilipwe ataitunzaje familia yake?jamani majungu hayatakusaidia. Unadhani Nape na wengine wanafanya kazi za chama bila malipo??

Mkuu kisaka, naomba usome tena post yangu, sina kinyongo na lema kujitafutia riziki kwa kuzuga watu hata kidogo, labda hukunielewa mkuu wangu.
 
mpaka manzese kwa wale kina ndugu zangu ?????????
kwli chadema mmepania kutuua mwaka huu na stress,,
 
Lema kamanda, achana na hao jamaa wanaopitisha bajeti isiyo na maslahi kwa watanzania maskini, cha msingi ni kuendelea kutoa elimu ya uraia -- game tactics..

wao wanatumia 4-4-2 (Tradition way) sisi tunatumia 3 -5-1 - formation yetu inabadilika kutokana na hali ya mchezo. Lema wamekutoa bungeni ila kazi anayoifanya ni kubwa zaidi.

Hongera kamanda wetu.
 
sasakmeuka Dar wenyewe watakapo kurupuka bungeni watu watakuwa wameelimika vya kutosha

Asante CHADEMA

big up M4C
 
Kweli Lema Jembe yaan siyo mbunge wa DSM lakini anaweza kuvuta watu wengi hivi?Magamba Kaeni chini mjiulize kwanini?

Hivi unapajua Manzese Bakharesa? Yaani apo ndio huwa kuna ubishi wa dini kila siku, kwa taarifa yako apo hata ugomvi wa Kuku watu wanajaa.

Kiwanja cha Mrema hicho kila akifanya mkutano watu wanajaa.
 
Hivi unapajua Manzese Bakharesa? Yaani apo ndio huwa kuna ubishi wa dini kila siku, kwa taarifa yako apo hata ugomvi wa Kuku watu wanajaa.

Kiwanja cha Mrema hicho kila akifanya mkutano watu wanajaa.
Kule mtwara hata ugomvi wa kuku watu wanajaa?
 
Nilitaka kushangaa usizungumze ila Jibu Hoja......Lema pekee yake tu shazi bila promo bila kuwarubuni watu wamejaaa!ebu jaribuni na nyinyi.Pigeni kelele Lema Anasonga
tena mwambie walienda kwa gharama zao akuna kosa walilo fanya ccm kama kumuweka lema benchi saa hii analuka na chopa kusambaza sumu
 
Chochonde jamani MAKAMANDA WA DAR
MBUNGE WANGU HUYO MNILINDIE MAANA AKICHAFUKWA TUNAMJUA WENYEWE ANAWEZA KUMFUATA MDHAIFU AKAMPA VITASA!!
 
Huyo mrs emmy asituzingue. Yeye na nchemba mzee wa first class aka mzee wa igunga ni damudamu.
 
Na bado ana mwezi wa kuwepo hapo dar sijui nape ana ratiba.
Crashwise maneno yako hayo yanaweza kuifanya mahakama inayokuwa remote controlled na magamba wamrudishie ubunge haraka arudi Arusha maana hii zunguka yake nchi nzima inamaliza ngome chache za magamba zilizosali!!
 
Back
Top Bottom