Lema Aunguruma Manzese,Dar

Jembe hilo viva Lema.Baada ya muda wataona madara ya huyu jamaa kutokuwa bungeni na sasa wamesha anza kuyaona
 
washikaji waliokaa hapo juu wanajadili jinsi ya kutumia Sadaka kwa ajili ya Pombe, Mvinyo na madem jioni ya leo hapo Rombo Bar nitakuwa hapokuwajuza
attachment.php
 
washikaji waliokaa hapo juu wanajadili jinsi ya kutumia Sadaka kwa ajili ya Pombe, Mvinyo na madem jioni ya leo hapo Rombo Bar nitakuwa hapokuwajuza
endeleeni na siasa za chooni sisi tunajenga chama, mziki mtaanza kuuona 2014 na 2015 ni kiama chenu...
 
washikaji waliokaa hapo juu wanajadili jinsi ya kutumia Sadaka kwa ajili ya Pombe, Mvinyo na madem jioni ya leo hapo Rombo Bar nitakuwa hapokuwajuza

hivi dada unafanyaga kazi sa ngapi? Kazi kupiga domo na maporojo toka asbuhi hadi usku,. Ebu jieshimu acha kujizalilisha dada tunajua unauza utu wako ustake tujue unauza hadi mwili wako,.
 
Nashangaa wale waliosema dar ni yao! Hao hawajaletwa kwa malori wala kuahidiwa elfu 5! Kama bado wanawaza hivyo hawana tofauti na aliyekuwa waziri wa habari wa Iraq enzi za Sadam!

Aaha-ha-haa,Fillipo umenikumbusha comical Ali.
 
Absolutely, if s'one dare puts his hand on you --- KABURINI TUU. MWANAKWETU NDIO KAZI ---- NAKOONA KWENYE DHARUBINI YANGU KWA MBALI ---- PASUA TUKO NYUMA YAKO. LAZIMA WATANZANIA WAFUNGUKE ---- MAFISADI WANATUMALIZA NCHI YETU WAJUIE NA WASIOGOPE

PEOPLES POWER NDIO MWENDO YETU
:A S wink:
 
washikaji waliokaa hapo juu wanajadili jinsi ya kutumia Sadaka kwa ajili ya Pombe, Mvinyo na madem jioni ya leo hapo Rombo Bar nitakuwa hapokuwajuza

Mtaelewa itakapofika 2015! kwa sasa endelea na mipasho/umbeya wako wakati wenzio wako kazini.
 
Asipozunguka mitaani mkono hauendi kinywani maana ubunge chali! mwacheni ajitafutie riziki.
Kumbe nyie magamba huwa mnafanya siasa kwasababu ya njaa zenu. Afadhali umeropoka maana umetusaidia kujua nia ya Chama Cha Magamba katika kufanya siasa. Tatizo ni kwamba mnafikiri kila anayefanya siasa basi ni kwasababu ya njaa. Hii inaonyesha fikra zenu zote ni juu ya tumbo na wala si uzalendo.
 
Back
Top Bottom